Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
Sijaolewa, una kijana unataka kumuoza?
Lizzy......Bala loves you!....
Bala.
Ndoa ni suala la choice,are you planning,God willing,siku moja kuolewa? Seriously am curious.
Ujue najaribu ku envisage the type of mwanaume atakayeweza ku match na wewe.You seem to be strong headed (assuming in real life uko hivo maana jf usanii mwingi wengi hawako vile wana ji potray humu ndani).
Then najiuliza should i feel pity or envy kwa hiyo njemba itakayokata shauri 'katika shida na raha mi na Elizabeth tu'.
Merci beaucoup.....Thank you Bala. . .
Lizzy loves you back.
Lizzy is Lizzy.....Who is Lizzy?
La kwanza nikutakie heri,baraka na fanaka tele katika maamuzi yoyote utakayoyachukua kuhusu maisha yako.Mmmh not really, ila inaweza ikatokea, GOD willing.
Hehehehe mimi ni mtata (kama ambavyo nimeshaitwa mara kadhaa) kote kote, kwahiyo muonee tu huruma kama unaona anaweza akaihitaji.
Merci beaucoup.....
Lizzy is Lizzy.....
La kwanza nikutakie heri,baraka na fanaka tele katika maamuzi yoyote utakayoyachukua kuhusu maisha yako.
La pili,kama character yako ndo hiyo katika maisha halisi kama ulivyo confirm, then there are two types of fellas wanaokufaa ,either awe fiery ngumi mkononi hataki ubishi (ata fight kuku subdue) au awe mpole saaaaaaana kiasi you will just turn him into a fine turkish rag,unajikanyagia tu na ye anasema hewara mama.Ukichagua wa kati ,a moderate on both sides of the edge,let me assure you,itakula kwako.
best wishes!
(nalog off-source:washawasha)
Leo asubuhi kabla sijaanza kujiandaa kwenda kibaruani niliona post ya kusema mtu kamzimikia Lizzy, hii ni mojawapo ya string nyingi sana ambazo zimekuwa zikitangaza kumzimikia Lizzy.
Hivi Lizzy umewapa nini hawa kila siku wanatangaza kukuzimikia? Wanapenda Avatar yako au wanapenda nini kwako? Hata wale ambao hawajaanzisha thread kuhusu Lizzy bado nahisi wanakuzimikia tu hebu nao waseme nini wanakizimikia kwako?
Mi nlisjasema..........
mi waziri wa maloveee au?AFRODENZI
SMILE
SWEETLADY
Mawaziri