Lizzy kaka yangu anajua kama upo on high demand?? Ili if he ever takes u for granted ajue hata mi mdogo wake sitamtetea maana nashuhudia watu wanavyotangaza nia hapa!
Hehehehe. . . asante Mams. . . hiyo siku kama ipo, ntakukaribisha nikuburudishe na wewe.Hi Lizzy, you look to be talkative and you'll probably be an Entertainer to your husband! I wish I could be there siku ya Mahari niongeze VAT for that!
mi nampendaga Lizzy saa za manane ya usiku... Wakati mwingine anabaki na Mwali wanapiga stori mpaka majogoo...
Ila mimi simo mtoa mada. Sijui huyo Lizzy ndo nani? Mhhh!
value added tax
!!!???
Bukheri wa afya hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu
Daktari kaniambia kuna mtu nimemmiss, ila vipimo havionyeshi ni nani. Inabidi niende tena jumatatu.Mh unagonjwa nini tena my likey jamani?