Nyamaza kabisa; Loliondo haijakodishwa kama kitalu , iliuzwa!!! Tofautisha vitu hivyo viwili. Ukome kutetea upuuzi.
What is so good about him? to me he was the worst of them all.
halafu hizi sera za mwekezaji atafanya hiki na kile , naona lazima tuziache tumpe mtu fungu analotakiwa kutoa basi, kutegemeana na inflation nk, ndio hayo hayo ya kilimanjaro airport ( Kadco) wanapangisha kwa usd 1,000.00 kwa mwezi eti wataboresha uwanja nk, kumbe hata wakiimarisha au kujenga majengo hukawi kuambiwa ni mali yao binafsi wakiondoka tuwalipe, halafu bei yake na inflation etc zinawekwa, ili iwe ngumu kuwatoa.
Unanikumbusha mmoja wa wapiganaji wa enzi hizo ambaye kwa hizi siku unaweza kidogo ukamlinganisha na Saed Kubenea, the late Stanslaus Katabalo.
Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi na awape muda zaidi wa kuishi wauaji wake ili washuhudie uzandiki wao katika maisha yao
Kwa wanaokumbuka kashfa iliyotikisa nchi wakati wa utawala wa Ali Hassan Mwinyi ya Loliondo watakuwa na mengi ya kusema. Je yule mwarabu Brigedia Ali wa falme za kiarabu ndiye huyu huyu aliyesafirisha twiga hivi karibuni? Je serikali ilisharejesha mbuga yetu au wamekuwa wakirithishana ulaji hasa baada ya kusikia kuwa viwanja vingi vya uwindaji vinamilikiwa na makampuni ya vigogo ukiachia mbali watu kama Pius Msekwa kuwa na maslahi binafsi kwenye dili hili?
We nawe jiniazJuzi Mwinyi na Lukuvi walikua Ikulu wakijadili hili na Rais wenu.
Waulizeee akinaa Ngoshaa cc@kigwangala maana naona aliingia kwa mbwembe sanaaaKwa wanaokumbuka kashfa iliyotikisa nchi wakati wa utawala wa Ali Hassan Mwinyi ya Loliondo watakuwa na mengi ya kusema. Je yule mwarabu Brigedia Ali wa falme za kiarabu ndiye huyu huyu aliyesafirisha twiga hivi karibuni? Je serikali ilisharejesha mbuga yetu au wamekuwa wakirithishana ulaji hasa baada ya kusikia kuwa viwanja vingi vya uwindaji vinamilikiwa na makampuni ya vigogo ukiachia mbali watu kama Pius Msekwa kuwa na maslahi binafsi kwenye dili hili?
Wamejifunika kanzu ya dini, ukiwakosoa tu unajibiwa na wenye dini yaoNi jeshi tu ndilo litatukomboa kutoka katika mikono ya hawa mashetani
HAWA WATU NI WANYAMAVilio Loliondo ni mwendelezo wa kulinda maslahi ya familia ya Mwinyi.!mwaka 1992 Mwinyi mkubwa aliuza Loliondo kwa Waarabu kupitia kampuni ya OBC.Mrithi wa hisa ni Rais wa sasa wa Zanzibar Hussein Mwinyi.Kaendeleza ya baba ndio maana kauza bandari ya Malindi na kupewa hisa
NB:
Wamarekani wana kitu kinaitwa classified information yaani taarifa fulani kwa watu fulani kwa kipindi fulani.. Hawana kitu kinaitwa TOP SECRET! Kwakuwa binadamu hawakuumbwa kutunza siri na hakuna siri ya watu zaidi ya mmoja
Kwahiyo kwa wamarekani ikipita kipindi fulani jambo fulani ambalo kwa wakati wake lilijulikana kwa wachache huachiwa lijulikane kwa jamii ili kulifisha mazima!
Hayati rais mstaafu Benjamin W. Mkapa aliiga staili hii ya Wamarekani kwenye kitabu cha historia ya maisha yake pale alipokiri CCM kuiba USD 500,000,000,000/= kwa ajili ya uchaguzi mkuu nadhani wa 2005!
Suala la kuuzwa kwa Loliondo bado linaiandama familia ya rais mstaafu mzee Ally Hasani Mwinyi ambapo biashara hiyo ilifanyika wakati akiwa rais na iligharimu roho za watu akiwepo mwandishi wa habari mmoja maarufu
Ukimya wa hii familia juu ya hili jambo utazidisha minong'ono mingi zaidi.. Ni wakati wa kuvunja ukimya sasa.. Ili jamii ijue ninini kwa hakika kilitokea na mambo yaishe!View attachment 2731687