Hivi Magufuli ana shida gani na wanawake? Mbona huwatolea mifano mingi ya kudharirisha au unyonge na kuwatoa uthamani?

Msukuma yule, matani mengi sana kwao, kuwa Rais haimbadilishi tabia za kisukuma
 
Nyege mshindo
 
Lakini ni kama yuko.sahihi maana wazaramo wengi hawawezi mambo kazi yao ni kushinda mwenye mdundiko
 
Mambo mengine huwa anaweka utani ili kunogesha hotuba.
 
wewe nae hata lugha ya picha huelewi alafu unakuja na story zako za uongo na kweli hapa sasa kwa taarifa yako mademu wengi wanazimikia sana wasukuma nafikiri tatizo si wewe tatizo ni exposure yako ndogo... unajua kabisa alikuwa anazungumza na watu wa ukanda wawapi ila unajitia unajua wakati haujui chochote MAGUFULI akiwa anazungumza hasa mikoa ya ukanda wa PWANI na DODOMA utani utausikian sana tu rejea hata wakati wa ufunguzi wa soko na stand DODODMA alizungumza kuwa WANAWAKE WA DODODMA wameanza kuwa weupe baada ya makao makuu kuhamia hapo...


afu mtoa mada una akili ndogo sana kupembua mambo mkuu...
 
Unayeniita nina akili ndogo nimeamua nisijibu ulozungumza ili heshima kati yetu iendelee kuwepo na kwa JamiiForums kwa ujumla.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Sio wasukuma bali ni wahutu, uyo ni mamluki tu usukumani
 
Anatuondolea hofu ya korona,[emoji3][emoji3]
 
Nakubaliana na wewe Mkuu,Mimi ni Mjita na kuna baadhi ya mambo sikubaliani nayo Mpaka sasa..
Mfano Dada yangu naweza kumtuma maji na akinipatia inatakiwa apige goti mpaka nimalize kunywa haha.
Mimi hii hapana.
Wasukuma,Wajita,Wakerewe..nk. Hasa Waliokulia Vivijini ndiyo wanye hizo tabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…