OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
mnaomsikiliza hamna kazi za kufanya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyege mshindoRais Magufuli: Nimewaelewa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Wananchi kuwa mnataka barabara ya lami itoke hapa (Kisarawe) hadi Mbuga ya Taifa ya Nyerere
- Ndugu zangu nimekubali, ili Wasukuma wawe wanapita hapa na kuchukua Wanawake kwenda nao Mbugani na kuwarudisha hapa
#JFMagufuli
Tutawakuta wapi tuwaulize?Waulize aliosoma nao UDSM (1984/85-86/87) jinsi alivyomshambulia girl friend wake nusura amuue!
Mambo mengine huwa anaweka utani ili kunogesha hotuba.Sio yeye, ni kabila lake. Wanaume wa kisukuma wanaona wanawake hawastahili heshima.
Tena ogopa mwanaume awe na kitu kinachompa jeuri, kama pesa au madaraka.
Unaweza usiniamini ila waulize wanawake walioolewa na wasukuma wanaishije ndani ya ndoa, au uliza wanawake wa kisukuma huko kwao wanachukuliwajwe.
kumbe ni mshukuma?Msukuma yule, matani mengi sana kwao, kuwa Rais haimbadilishi tabia za kisukuma
[emoji1][emoji1][emoji137]Tutawakuta wapi tuwaulize?
wewe nae hata lugha ya picha huelewi alafu unakuja na story zako za uongo na kweli hapa sasa kwa taarifa yako mademu wengi wanazimikia sana wasukuma nafikiri tatizo si wewe tatizo ni exposure yako ndogo... unajua kabisa alikuwa anazungumza na watu wa ukanda wawapi ila unajitia unajua wakati haujui chochote MAGUFULI akiwa anazungumza hasa mikoa ya ukanda wa PWANI na DODOMA utani utausikian sana tu rejea hata wakati wa ufunguzi wa soko na stand DODODMA alizungumza kuwa WANAWAKE WA DODODMA wameanza kuwa weupe baada ya makao makuu kuhamia hapo...Sio yeye, ni kabila lake. Wanaume wa kisukuma wanaona wanawake hawastahili heshima.
Tena ogopa mwanaume awe na kitu kinachompa jeuri, kama pesa au madaraka.
Unaweza usiniamini ila waulize wanawake walioolewa na wasukuma wanaishije ndani ya ndoa, au uliza wanawake wa kisukuma huko kwao wanachukuliwajwe.
Unayeniita nina akili ndogo nimeamua nisijibu ulozungumza ili heshima kati yetu iendelee kuwepo na kwa JamiiForums kwa ujumla.wewe nae hata lugha ya picha huelewi alafu unakuja na story zako za uongo na kweli hapa sasa kwa taarifa yako mademu wengi wanazimikia sana wasukuma nafikiri tatizo si wewe tatizo ni exposure yako ndogo... unajua kabisa alikuwa anazungumza na watu wa ukanda wawapi ila unajitia unajua wakati haujui chochote MAGUFULI akiwa anazungumza hasa mikoa ya ukanda wa PWANI na DODOMA utani utausikian sana tu rejea hata wakati wa ufunguzi wa soko na stand DODODMA alizungumza kuwa WANAWAKE WA DODODMA wameanza kuwa weupe baada ya makao makuu kuhamia hapo...
afu mtoa mada una akili ndogo sana kupembua mambo mkuu...
Uandishi huu ndio umetufikisha uchumi wa kati [emoji35]maguduli anadharau na kutweza wamawake.
Sio wasukuma bali ni wahutu, uyo ni mamluki tu usukumaniSio yeye, ni kabila lake. Wanaume wa kisukuma wanaona wanawake hawastahili heshima.
Tena ogopa mwanaume awe na kitu kinachompa jeuri, kama pesa au madaraka.
Unaweza usiniamini ila waulize wanawake walioolewa na wasukuma wanaishije ndani ya ndoa, au uliza wanawake wa kisukuma huko kwao wanachukuliwajwe.
HahahahhahahaSio wasukuma bali ni wahutu, uyo ni mamluki tu usukumani
Pole mkuu, kunywa maji mengihuwa naumia sana kiongozi wa nchi akidhihaki wanawake.
Nakubaliana na wewe Mkuu,Mimi ni Mjita na kuna baadhi ya mambo sikubaliani nayo Mpaka sasa..Sio yeye, ni kabila lake. Wanaume wa kisukuma wanaona wanawake hawastahili heshima.