Hivi maji ya Dodoma yana peroxide?

Haya maji sio kabisaa, basi tu ila sidhani kama yanafaa kwa matumizi ya binadamu.
Eti makao makuu ya nchi[emoji2297][emoji2297]
Wivu tu unakusumbua!
Maji yanafaa sana tu hao wanaokupa maji mazuri huko uliko huenda elimu yao ya maji ikawa ndogo kuliko walioko kwenye hili jiji.
 
Waongo hao labda wawe hawaijui Dar. .. Kwanza jua la Dom halikutoi jasho linawaka kwa kiasi chake lakini kunakuwaga na kiupepo cha mbali mbali. In short jua la Dom halikeri kama la Dar
😍😍😍
 
Dodoma sio mji wa kuishi maji Yana chumvi hata kupikia chai hayafai, ukioga ndo usiseme ni Kama unajichafua. Huo mji kwa shida za maji sio wa kuishi kabisa
Ili mradi na wewe uonekane umechangia?
 
Hivi Dodoma kwa sasa kuna maji ya kutosha? Nakumbuka nilishawahi kuoga maji kwenye beseni la kunawia mikono nilipomtemblea jamaa yangu aliyekuwa anaishi eneo la Makole mwaka 1977!
Mzee wangu saivi kuko bombs sana

Ila umenichekesha

Wenyeji usikute walioga kikombe ila kwaupendeleo kwavile wewe ni mgeni ukapewa kabeseni
 
Utazoea tu mkuu,ukifua nguo suuza na maji mengi!!
 
Ulitaka ni comment hilo bichwa lako@loftins
Nakuonea huruma sana.
Yani ukitaka uswahili mimi ndio mswahili haswa, ukitaka ufala mimi ndio nimezaliwa ndani yake ukitaka ubandidu hadi uione JF chungu mimi ndiye bandidu haswa.

Kindigo wewe, hujui kitu kazi kuropoka tu upuuzi.
 
Dodoma Hali yake ni ya jangwa...wataalamu watasaidia...
 
Kabilianeni na hali hamna naMna. Ila ni ukweli mtupu...
 
Kweli tuna mipango ya ajabu, hivi pesa za dream liner moja si ingetosha kuvuta maji from Lake Victoria, Kuja Shinyanga, Tabora, Singida mpaka Dodoma??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…