kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa JWTZ wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita?
Nikaona ngoja nicheck wenzao huko dunian huwa wanakua namna gani kwenye battle field, nimebahatika kuwaona seal team six, wale jamaa ni habari nyingine bana, kwanza wako simple tu.
Sasa hawa wa kwetu naona wana mavifua makubwa tu ila sioni kama wako competent.