Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

Mbona walifanya joint training majuzi na Wamarekani, haya ni maonesho na hayo ndio madoido ya Commandos ukitaka kujua habari zao nenda kwenye jando lao usikie machine guns zinavyopigwa mithili ya ngoma...tuna vijana makini, hodari na shupavu.
 
You are not serious.......Hapo tu majuzi majeshi ya Kagame yalitoka yalikotoka kuja kuchachafya Msumbuji, sisi kimyaaaaaa!
Muda mwengine ni akili ya vita. Tungeingia sisi pengine wangeingia kwetu kwa urahisi na kufanya mashambulizi ya kushtukiza kama nchi nyenginezo. Ila Rwanda iko mbali. Mbali na hivyo si lazima kila kitu ujue.
 
Wabongo siasa zinawaharibu sana!
Commando wanapigwa makonzi na polisi wenye elimu za darasa la saba hadi wanaomba msamaha uwalinganishe na makomandoo wa nchi za wenzetu kweli? Kwa ufupi nchi hii haina makomandoo bali tuna wasanii waliojificha kwenye kivuli cha makomandoo
 
SEAL sio commandos wale ni special elite force tu ila wanafunzwa na makomando So you can imagine if SEAL wapo ile Je hao commandos wao wapoje ... m,arekani wana elite force zaidi ya SEAL
Commando ni old name for specialized units. Wenzetu wanaita special forces. So kila taifa au bara fulan lina majina tofauti.
 
One wenzao wa kenya

Screenshot_20211209-144630_Opera Mini.jpg
 
Hauna info za kutosha! Badala ya kutumia fact unatumia hisia zako kisha unahitimisha mwenyewe.

Heshimu kazi za watu, na kama hujui uliza au kaa kimya.
Kazi ya jeshini nayo niyakujisifia mbele ya watu, kwa ufupi bado tupo stone age hili jeshi lenu linapaswa kufumuliwa na kuwa advanced liendane na kasi ya teknolojia. Hili jeshi lina kitu gani cha ziada kulizidi jeshi la Rwanda?
 
Kazi ya jeshini nayo niyakujisifia mbele ya watu, kwa ufupi bado tupo stone age hili jeshi lenu linapaswa kufumuliwa na kuwa advanced liendane na kasi ya teknolojia. Hili jeshi lina kitu gani cha ziada kulizidi jeshi la Rwanda?
Kuna watu hawalali ili wewe ulale salama alafu unaleta kejeli, kua na heshima japo kidogo
 
Back
Top Bottom