Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika,na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa jwtz wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni.nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita? Nikaona ngoja nicheck wenzao huko dunian huwa wanakua namna gani kwenye battle field,nimebahatika kuwaona seal team six, wale jamaa ni habari nyingine bana,kwanza wako simple tu.
Sasa hawa wa kwetu naona wana mavifua makubwa tu ila sioni kama wako competent.

View attachment 2038131

View attachment 2038132

View attachment 2038133
Kwa taarifa yako...kila mwaka kuna joint exercise zinafanywa na makomandoo wa marekani na ulaya, na hawa wa Tanzania( Hata mwaka huu zimefanyika). Hao makomandoo wa nje wakijaga hapa wanakubali mziki. Uliza uambiwe. Lazima ujue hawa makomandoo baada ya a kupata mafunzo ya awali (intake one) ya hapa nyumbani, huwa wengine wanaenda mafunzo huko Israel, Marekani, Cuba na China. Na trainer mkuu wa jeshi letu hapa ni mchina. Usiwachukulie poa
 
Kiboko yao ni mapolisi tu huko kwingine unapotaka kuwalinganisha ni mbali Sana.
Ficha ujinga wako na uccm wako...hata wewe ukiwa komando unavamiwa na kundi la watu 6 na zaidi na wana silaha, na wewe huna silaha na hujafanya kosa lolote lazima uwe mpole usikilizie. Sasa hao mapolisi wako kama wapo vizuri, ngoja kesi iishe hao makomandoo warudi mtaani halaf waanze kutafutana one against one tuone Nani zaidi!
 
kwa nini unadhalau wanajeshi wa Taifa lako mbona North korea wanalo jeshi linalovunja tofauti, kukunja Nondo na Vitu vingi hufanya ambavyo vikifanywa na jeshi letu mtu anaanza kudhalau.
Unaanza kusifia Seal Team Six unajuwa bajeti yao ni shilling ngapi?
Kumbe umeelewa. Kuna tofauti kubwa, na ndio maana wa kwetu anaweza kamatwa na polisi bila maandalizi yoyote wakiwa njiani kwenda kuajiriwa na Mbowe.
 
Kaulize nchi JWTZ wailkopigana hawajawahi shindwa popote nchi yeyote

Kwa hili uko sahihi, jeshi letu lina heshima ukanda huu. Monduli TMA ni moja ya vyuo vikubwa sana kijeshi Afrika. Nimepata bahati ya kukutana na wanajeshi wa kigeni kutoka Afrika - ukisema ni mTanzania, unawaletea kumbukumbu za muda wao TMA na wanakumbuka machungu ya pale lakini zaidi furaha ya mavuno ya muda wao!!
 
Hawa si walikua wanalia juzi tu wanekamatwa na polisi ?

Vuta picha labda wangekamatwa na wajeda wa russia ingekuaje
Nashangazwa sana na ubora wa polisi dhidi ya makomandoo wa JWTZ...
Hata ripoti nyingi zinaonesha wakienda foreign missions bado hawana ujuzi wa medani!!
So kifupi wana uwezo mdogo... kama wanabisha waombe friendly war...
 
Kaulize nchi JWTZ wailkopigana hawajawahi shindwa popote nchi yeyote
Waende wakamlize vita Ukanda wa Gaza ama Syria. Kule hata Marekani na Urusi wenye nguvu kubwa za kijeshi wanatapatapa tena kwa wanamgambo tu wa Hizbollah ama Al nusra front *****.
 
Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika,na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa jwtz wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni.nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita? Nikaona ngoja nicheck wenzao huko dunian huwa wanakua namna gani kwenye battle field,nimebahatika kuwaona seal team six, wale jamaa ni habari nyingine bana,kwanza wako simple tu.
Sasa hawa wa kwetu naona wana mavifua makubwa tu ila sioni kama wako competent.

View attachment 2038131

View attachment 2038132

View attachment 2038133
Usimple wa hao SEAL wako ukoa wapi, mbona nao wana mizigo kama makomando wetu au kwa sababu hawana mabegi mgongoni. Zote ni aina za uvaaji tu! Kama unadhani makomando wetu ni bure, NENDA kawaulize IS huko Msumbiji!
 
Hawa ni makomandoo wa ukweli... Fahari ya nchi yetu!!! Nchi karibia zote za Africa wanakuja kufundishia wanajeshi wao hapa Tanzania. Tujivunie vya kwetu. Kama unataka kujua muulize Kagame mwaka juzi alitaka kumpindua Nkurunzinza wakati amekuja kutembelea hapa ili aweke vibaraka wake Burundi. Ndani ya wiki moja tu, makomandoo wetu wakawafurusha. Am proud of them 💪
 
Muda mwengine ni akili ya vita. Tungeingia sisi pengine wangeingia kwetu kwa urahisi na kufanya mashambulizi ya kushtukiza kama nchi nyenginezo. Ila Rwanda iko mbali. Mbali na hivyo si lazima kila kitu ujue.
Iko mbali kwa lipi na wewe unatuletea story za kwenye kahawa. Rwanda 2014 tumewasambaratisha Congo na M-23 yao mpaka Kagame akapanic, na mwaka juzi waliingia Burundi kwa mlango wa nyuma kumpindua Nkurunzinza tukawavuruga kinyesi...wapo mbali kwa lipi kanchi kapo kama mkoa wa Kilimanjaro 🚮🚮
 
Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika,na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa jwtz wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni.nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita? Nikaona ngoja nicheck wenzao huko dunian huwa wanakua namna gani kwenye battle field,nimebahatika kuwaona seal team six, wale jamaa ni habari nyingine bana,kwanza wako simple tu.
Sasa hawa wa kwetu naona wana mavifua makubwa tu ila sioni kama wako competent.

View attachment 2038131

View attachment 2038132

View attachment 2038133
Kubeba hivyo ni show tu ila inasaidia vitani kwani wanaweza kubeba majeruhi wenzao kwa uzoefu ama kubeba silaha nzito, hata hao SEAL TEAM huwa wanafanya mazoezi ya kubeba mawe mazito kwenye mabag hayo na kukimbia mwendo mrefu
 
Commando wanapigwa makonzi na polisi wenye elimu za darasa la saba hadi wanaomba msamaha uwalinganishe na makomandoo wa nchi za wenzetu kweli? Kwa ufupi nchi hii haina makomandoo bali tuna wasanii waliojificha kwenye kivuli cha makomandoo

Uliwahi wasaili na kugundua kwamba ni wasanii!!?
 
Kwa hili uko sahihi, jeshi letu lina heshima ukanda huu. Monduli TMA ni moja ya vyuo vikubwa sana kijeshi Afrika. Nimepata bahati ya kukutana na wanajeshi wa kigeni kutoka Afrika - ukisema ni mTanzania, unawaletea kumbukumbu za muda wao TMA na wanakumbuka machungu ya pale lakini zaidi furaha ya mavuno ya muda wao!!
Mwambie huyo pimbi...anachukulia poa sana
 
Uzalendo ni nini??
Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Mzalendo wa kweli daima anaweka maslahi ya nchi mbele na ya kwake binafsi nyuma. Kwa maana hiyo hapo juu, mzalendo ni mtu yeyote mzawa na mwenye kuipenda na kujitoa mhanga na saa nyingine ikibidi kufa kwa ajili ya nchi yake. Uzalendo unabeba dhana nyingi sana ikianzia asili, utamaduni, lugha, siasa, historia, nk. Dhana zote zikifungwa kwenye dhana kuu ya utaifa.

Kuwa mzalendo ni zaidi ya kuifia nchi yako. Kwa sababu aidha kwa uzembe au kwa ujinga au kwa imani yake mtu aweza kufa lakini kumbe hakuipenda nchi ila kwa matakwa yake binafsi. Shinikizo la kuifia nchi ni lazima liwe tunda la uaminifu, upendo kujitoa, kuipigania na kuitetea nchi yako. Wako wazalendo ambao wameitetea nchi yao toka utotoni, ujanani na uzeeni na hawakuifia nchi. Watu wasio wazalendo ni hawa hapa: watu wanaoihujumu nchi kwa kuiba, kutumia rasilimali za nchi viabaya, kuharibu miundo mbinu, kuweka pesa nje ya nchi, kuisema vibaya nchi na viongozi au watu wake, kushabikia wizi na ufisadi, kuvunja sheria za nchi, kuthamini vitu na mambo kutoka nje, nk.
 
Back
Top Bottom