Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika,na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa jwtz wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni...
Mkuu heshimu proffesion za watu.

Unatype kwa uhuru kbsa sababu ya uwepo wa vyombo vya usalama.

,Wewe una uzoefu Gani na mambo ya usalama mpaka uwe na uwezo wa kupima competence ya jeshi?
 
kwa nini unadhalau wanajeshi wa Taifa lako mbona North korea wanalo jeshi linalovunja tofauti, kukunja Nondo na Vitu vingi hufanya ambavyo vikifanywa na jeshi letu mtu anaanza kudhalau.
Unaanza kusifia Seal Team Six unajuwa bajeti yao ni shilling ngapi?
Enbu muelekezeee
 
Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika,na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa jwtz wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongon...

IMG_20211203_111536.jpg
 
You are not serious.......Hapo tu majuzi majeshi ya Kagame yalitoka yalikotoka kuja kuchachafya Msumbuji, sisi kimyaaaaaa!
JWTZ inapigana vita kubwa. JWTZ ilipigana Msumbiji nchi nzima kumtimua mreno Msumbiji iwe huru
Hivyo vivita vidogo vya kamkoa kamoja au tuwili twa Msumbiji tunaachia akina Kagame wajifunze vita
 
Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika,na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa jwtz wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongon...
SEAL sio commandos wale ni special elite force tu ila wanafunzwa na makomando So you can imagine if SEAL wapo ile Je hao commandos wao wapoje ... m,arekani wana elite force zaidi ya SEAL
 
Kuna wengine huku walikimbia baada ya kuona gari la kawadi lilipita njia ya jeshi kutoka mwanzo wa mpaka mpaka mwisho wa mpaka na kabla halijamaliza lilishindwa kuvuka kimfereji, wenye gari wakawaita raia wa kawaida wakalitoa lilipo kwama humo humo jeshini na likaondoka,,
Sasa kilichotokea tumepigwa biti hakuna kupita rai tena njia hiyo
Amani ikizidi sana inaleta uzemne, habari ndio hiyo. Sio kwamba tupigane vita ila mnapokuwa na amani mkijisahau viwango vinashuka, sharti wawe na mafunzo na programme za kujiweka sawa, tunawaona mitaani huku ni wenzetu tunaishi nao, wamerelax kila eneo la mwili na akili,
 
Back
Top Bottom