kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Unafikiri degree holder wengi wa hapa kwetu wapo competent kulinganisha na developed countries?
Nani anaewafunza?
Ubora wa technology ya vifaa vya kufundishia uko sawa kote?
Level ya uelewa wa watu wanaokwenda kuqualify kwa hayo mafunzo zinafanana?
Unawalinganisha n hao makomandoo mateja yaliyoishiwa nguvu kwa kubugia madawa ya kulevya yakalegea kila eneo jeshi likawatimua baada ya kuwaona mdebwedoKiboko yao ni mapolisi tu huko kwingine unapotaka kuwalinganisha ni mbali Sana.
Ile sio onysho tu wanakuonyesha kibaka wewe kuwa ukirusha jiwe au tofali ujue havitawadhuru ila wewe uliyetupa jiwe au tofali wanakuonyesha cha mtema kuniWazee wa kupasua tofari kwa pua heshima kwao.
Kijana acha dharau jifunze kuheshimu vya kwakoNilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika,na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa JWTZ wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni.