Hivi Makonda ndio wakuishi kama digidigi kweli?

Mambo ya uongozi yanapaswa kuangalia kwa macho kadhaa!. Tunaweza kujadili hapa kuwa kawa digidigi kumbe sisi ndo tumefanywa vipofu!.. ukute mtu anakula bata mahali na anautafuna si kifani halafu huku wanakuja kutufanyia maigizo ya mtafutwa aliefichwa makusudi!.
Hata Mimi ningekuwa kwenye system ningemficha mahali tutafune maburungutu yake yakiisha namtosa kama kasusura
 
Makonda haishi kama digidigi, makonda yupo sana tu. Huo ujinga wenu mliomezeshwa na kubenea mnajipotezea tu muda. Ni bora muutumie kumuokoa gaidi
Makonda anakula zake maisha na Range yake A town hana papara. Nyie endeleeni kujilisha ujinga
Mfikishie wito anatakiwa mahakamani
 
Makonda haishi kama digidigi, makonda yupo sana tu. Huo ujinga wenu mliomezeshwa na kubenea mnajipotezea tu muda. Ni bora muutumie kumuokoa gaidi
Makonda anakula zake maisha na Range yake A town hana papara. Nyie endeleeni kujilisha ujinga
Mwambie atupie instagram basi
 
Mambo ya uongozi yanapaswa kuangalia kwa macho kadhaa!. Tunaweza kujadili hapa kuwa kawa digidigi kumbe sisi ndo tumefanywa vipofu!.. ukute mtu anakula bata mahali na anautafuna si kifani halafu huku wanakuja kutufanyia maigizo ya mtafutwa aliefichwa makusudi!.

Usiishi Kwa nadharia. Maisha ni halisi.

Utani utani huwa kweli,
Cheche huzaa Moto

Makonda alipaswa alidhibiti Jambo hili mapema, Kwa maana hakuna utani WA hivi.
Ikishindikana leo, kesho itawezekana.

Muanzishaji anaweza kuwa na lengo jingine lakini watakaotokea katikati wakawa na dhamira ya kweli kumshtaki.

Awali ndio ngumu kuianza, lakini ikishawezekana kazi kwisha.

Hakunaga Siasa za hivyo Mkuu.
 
Inavyosomeka huku kitaa, jamaa analindwa na ruling regime. Mtu ambaye makosa yake yalithibitila hata kwa 'external observers' asingepaswa kuishi uraiani hata masaa kadhaa.
Wanaogopa atamwaga Siri regime itachafuka kama ilivyochafuka kwenye kesi ya Mbowe na sabaya
 
Usiishi Kwa nadharia. Maisha ni halisi.

Utani utani huwa kweli,
Cheche huzaa Moto

Makonda alipaswa alidhibiti Jambo hili mapema, Kwa maana hakuna utani WA hivi.
Ikishindikana leo, kesho itawezekana.

Muanzishaji anaweza kuwa na lengo jingine lakini watakaotokea katikati wakawa na dhamira ya kweli kumshtaki.

Awali ndio ngumu kuianza, lakini ikishawezekana kazi kwisha.

Hakunaga Siasa za hivyo Mkuu.
Kubenea ni chambo tu
 
Mambo ya uongozi yanapaswa kuangalia kwa macho kadhaa!. Tunaweza kujadili hapa kuwa kawa digidigi kumbe sisi ndo tumefanywa vipofu!.. ukute mtu anakula bata mahali na anautafuna si kifani halafu huku wanakuja kutufanyia maigizo ya mtafutwa aliefichwa makusudi!.
Inawezekana kabisa mkuu,,hizi siasa za Afrika zina mambo mengi,,unaweza kuta hao wakubwa wanafahamu jamaa alipo na tena yupo huko kwa maelekezo yao afu wanatuzuga tu..!
 
Kiufupi dunia ni kuwa na hekima, roho nzuri, huruma , kutenda haki ,kutafuta vya halali la sivyo ule msemo wa malipo ni hapa hapa duniani utatumika

Ndo usia wangu usijifanya mwanba, kudhulumu haki, kudhulumu sijui kutapeli
 
Back
Top Bottom