Hivi Makonda ndio wakuishi kama digidigi kweli?

Waliosema maisha sio leo ni kesho walifunuliwa unabii mkubwa mno.. Ni maono ya aina yake ambayo kila anayepata nafasi ya kuwa juu ya wengine anapaswa kuyakariri vema

Maisha kamwe hayana formula .. Nimemkumbuka Gadafi na Saddam Hussein na mwisho wao ulivyokuwa.. Maisha ya ukwasi, ubabe, ulinzi na kuwa juu ya sheria..lakini wakaishia kuwa kama digidigi na ndezi.. Wakiwa hawana kikao maalum na kuishi maisha ya hofu na kuiificha

Mtu aliyewahi kujitangaza kama mla bata namba moja duniani leo hii hajulikani alipo kakimbia mkono wa sheria na mahakama imetoa kibali atangazwe kwenye vyombo vya habari kwamba anatafutwa akajibu kesi inayomkabili
Waliokuwa chawa wake, wapambe wake marafiki zake ni muda sahihi wa wao kujitokeza hadharani na kumpigania kwa namna yoyote ama la kumpa walau faraja kwamba KIONGOZI TUKO NAWE MPAKA MWISHO!
TULIFURAHI PAMOJA TUTALIA PAMOJA!

Paulo Makonda kawa mkimbizi kwenye nchi yake mwenyewe! Kawa mkimbizi wa hiari
Hivi Le Mutumuz mzee late dinner at 5 star hotel yupo kweli?
Maana mhhh!!!
 
Kwan hilo agizo la kukamatwa na kushtakiwa la lini.au ndo tunafanyana hatuna akili.ni kwel kwamba makonda haonekan?mh haya ngoja tuone
 
Waliosema maisha sio leo ni kesho walifunuliwa unabii mkubwa mno.. Ni maono ya aina yake ambayo kila anayepata nafasi ya kuwa juu ya wengine anapaswa kuyakariri vema

Maisha kamwe hayana formula .. Nimemkumbuka Gadafi na Saddam Hussein na mwisho wao ulivyokuwa.. Maisha ya ukwasi, ubabe, ulinzi na kuwa juu ya sheria..lakini wakaishia kuwa kama digidigi na ndezi.. Wakiwa hawana kikao maalum na kuishi maisha ya hofu na kuiificha

Mtu aliyewahi kujitangaza kama mla bata namba moja duniani leo hii hajulikani alipo kakimbia mkono wa sheria na mahakama imetoa kibali atangazwe kwenye vyombo vya habari kwamba anatafutwa akajibu kesi inayomkabili
Waliokuwa chawa wake, wapambe wake marafiki zake ni muda sahihi wa wao kujitokeza hadharani na kumpigania kwa namna yoyote ama la kumpa walau faraja kwamba KIONGOZI TUKO NAWE MPAKA MWISHO!
TULIFURAHI PAMOJA TUTALIA PAMOJA!

Paulo Makonda kawa mkimbizi kwenye nchi yake mwenyewe! Kawa mkimbizi wa hiari
PM alijisahau sana. Umri mdogo akaanza kufanya mambo kama mganga wa kienyeji
 
Usiishi Kwa nadharia. Maisha ni halisi.

Utani utani huwa kweli,
Cheche huzaa Moto

Makonda alipaswa alidhibiti Jambo hili mapema, Kwa maana hakuna utani WA hivi.
Ikishindikana leo, kesho itawezekana.

Muanzishaji anaweza kuwa na lengo jingine lakini watakaotokea katikati wakawa na dhamira ya kweli kumshtaki.

Awali ndio ngumu kuianza, lakini ikishawezekana kazi kwisha.

Hakunaga Siasa za hivyo Mkuu.
Wewe bwana ndio leo na kuona kuchangia mada ya za wenzako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliosema maisha sio leo ni kesho walifunuliwa unabii mkubwa mno.. Ni maono ya aina yake ambayo kila anayepata nafasi ya kuwa juu ya wengine anapaswa kuyakariri vema

Maisha kamwe hayana formula .. Nimemkumbuka Gadafi na Saddam Hussein na mwisho wao ulivyokuwa.. Maisha ya ukwasi, ubabe, ulinzi na kuwa juu ya sheria..lakini wakaishia kuwa kama digidigi na ndezi.. Wakiwa hawana kikao maalum na kuishi maisha ya hofu na kuiificha

Mtu aliyewahi kujitangaza kama mla bata namba moja duniani leo hii hajulikani alipo kakimbia mkono wa sheria na mahakama imetoa kibali atangazwe kwenye vyombo vya habari kwamba anatafutwa akajibu kesi inayomkabili
Waliokuwa chawa wake, wapambe wake marafiki zake ni muda sahihi wa wao kujitokeza hadharani na kumpigania kwa namna yoyote ama la kumpa walau faraja kwamba KIONGOZI TUKO NAWE MPAKA MWISHO!
TULIFURAHI PAMOJA TUTALIA PAMOJA!

Paulo Makonda kawa mkimbizi kwenye nchi yake mwenyewe! Kawa mkimbizi wa hiari
Chawa wamemgeuka. Ndio wanakazana kusema asulubiwe.
 
Hehe hili ni shauri la kiraia na sio la serikali. Halina mashiko yoyote aliepeleka amefanya kwa nia za kisiasa ila kila siku asikike katika habari anamuomba Makonda aende mahakamani.

Makonda anapiga mazoezi kila siku uwanja wa Oysterbay.
Makonda haishi kama digidigi, makonda yupo sana tu. Huo ujinga wenu mliomezeshwa na kubenea mnajipotezea tu muda. Ni bora muutumie kumuokoa gaidi
Makonda anakula zake maisha na Range yake A town hana papara. Nyie endeleeni kujilisha ujinga

Sasa tumuamini Nani? Pumbavu zenu machawa wa bashite nyie
 
Waliosema maisha sio leo ni kesho walifunuliwa unabii mkubwa mno.. Ni maono ya aina yake ambayo kila anayepata nafasi ya kuwa juu ya wengine anapaswa kuyakariri vema

Maisha kamwe hayana formula .. Nimemkumbuka Gadafi na Saddam Hussein na mwisho wao ulivyokuwa.. Maisha ya ukwasi, ubabe, ulinzi na kuwa juu ya sheria..lakini wakaishia kuwa kama digidigi na ndezi.. Wakiwa hawana kikao maalum na kuishi maisha ya hofu na kuiificha

Mtu aliyewahi kujitangaza kama mla bata namba moja duniani leo hii hajulikani alipo kakimbia mkono wa sheria na mahakama imetoa kibali atangazwe kwenye vyombo vya habari kwamba anatafutwa akajibu kesi inayomkabili
Waliokuwa chawa wake, wapambe wake marafiki zake ni muda sahihi wa wao kujitokeza hadharani na kumpigania kwa namna yoyote ama la kumpa walau faraja kwamba KIONGOZI TUKO NAWE MPAKA MWISHO!
TULIFURAHI PAMOJA TUTALIA PAMOJA!

Paulo Makonda kawa mkimbizi kwenye nchi yake mwenyewe! Kawa mkimbizi wa hiari
laana ya gwajiboy hiyo, haijatenguliwa, gwajiboy alisema anamfuta kisiasa hapa duniani na mbinguni. sasaivi jamaa hata hajulikani anaishi wapi. kipindi kile alikuwa ametawala angani na ardhini, mitandaoni na kwenye mass media zote. kiburi kilipanda juu, kumbe ajikwezaye atashushwa na ajishushaye atakwezwa, Neno la Mungu latuonya unyenyekevu tujivike, Mungu huwapiga weney kiburi lakini huwapa wanyenyekevu neema.

miaka fulani kabla nikiwa nafanya kazi kwa kaisari, nilitembelea sehemu fulani kwa mtu ambaye alitakiwa kuwa mdogo kwangu, alitakiwa aniite boss na anisikilize, yeye akanipanda juu na akawa hataki kuniita boss na kutaka mimi nimwite yeye boss. awali nilitaka nishindane ili nimwamuru aniheshimu, moyoni nikashuhudiwa kuwa "mwache", usitafute heshima ya wanadamu, tafuta heshima ya Mungu, Mungu akiamua kukuheshimu, hao wanaokudharau atawashangaza. niliamua kukubali yaishe, nikawa namheshimu vile yeye anataka. haikuchukua muda, aliwekwa chini ya miguu yangu forever. na ikawa embarrassment kwake. kuna wakati yule unayemdharau ndio boss wako wa kesho, tena aliyeshika destiny yako. ukijishusha Mungu atakuinua mwenyewe as long as una haki, its just a matter of time. pia ukijiinua na kujifanya mungumtu, its just a matter of time, Mungu atakushusha hadi kuzimu. kati ya sheria/principles ambazo Mungu anazifuata hadi leo hii, ni kwa mtu mwenye kiburi, anayejitukuza na kujiinua, Mungu ameahidi kumshusha chini kabisa, kwasababu anayestahili kuabudiwa na kutetemekewa ni yeye Mungu tu.
 
Ilikuwa ikifika birthday yake Instagram haifai dah maisha haya mungu anisaidie kwa kweli.
 
The former Governor of Dar es Salaam.
Now a FUGITIVE!!! Msitegemee IGP Sirro na watu wake kumkamata Bashite kwasababu Sirro kupata hicho Cheo ilitokana na recommendation ya Bashite kwa marehemu Jiwe!!!
 
Makonda haishi kama digidigi, makonda yupo sana tu. Huo ujinga wenu mliomezeshwa na kubenea mnajipotezea tu muda. Ni bora muutumie kumuokoa gaidi
Makonda anakula zake maisha na Range yake A town hana papara. Nyie endeleeni kujilisha ujinga
Kwa akili yako ya uchawa na sasa kunguni unajiona una maarifa kuliko woote humu? Kwa taarifa yako hata kama bashite asinge pelekwa mahakaman bado taabu angekuwa nayo hata kama sofa na kitanda anacho lalia ni maburungutu ya fedha, hii ni kutokana na maisha aliyoishi akiwa kiongozi wa umma.

Watu wanaposema anaish kama digdigi haimaanishi kwamba baba Keagan hana hela hapana au hana nyumba au hawez hudumia mchepuko au hawez tunza watu wa Kolomije la hasha, ila zile mbwembwe majivuno na kuamua atakalo kwa yeyote hadi kufikia kupora watu mali zao hadi kunyang'anya watu haki ya kuishi hayo ndiyo yanayomtesa kwani hana madaraka tena 7bu aliishi as if there is no 2morrow.

Kwa hiyo wewe kama ulikuwa mchepuko wake uukafaidi ukanunuliwa na IST na huenda bado unakula bata na baba Keagan endelea lakini haya unayoyaona humu ndani ni mawazo ya watu ambao wamo waliokuzidi kimo, uchumi, elimu, maarifa etc na hii yoote ni reflection ya maisha ya makonda akiwa madarakani.
 
Wanaoishi kama digidigi ni Lisu na Lema siyo Makonda ambaye anafanyabiashara zake Kigamboni
Kujua kwingi sometimes ni ujinga.

Mshana kuna mtu amewahi kumsababishia ban ambayo nadhani haijawahi kuisha kuhusu mambo ya kupakua app alafu unapata vocha siukumbuki vizuri jina alipigwa amba kati za hatari sana.

Hata hapa anapuyanga Makonda ni young God father kwa kuwa hii nchi vilaza tujiitao wajanja ni wengi kuliko wenye akili hatuwezi kuelewa
 
Back
Top Bottom