Kwa akili yako ya uchawa na sasa kunguni unajiona una maarifa kuliko woote humu? Kwa taarifa yako hata kama bashite asinge pelekwa mahakaman bado taabu angekuwa nayo hata kama sofa na kitanda anacho lalia ni maburungutu ya fedha, hii ni kutokana na maisha aliyoishi akiwa kiongozi wa umma.
Watu wanaposema anaish kama digdigi haimaanishi kwamba baba Keagan hana hela hapana au hana nyumba au hawez hudumia mchepuko au hawez tunza watu wa Kolomije la hasha, ila zile mbwembwe majivuno na kuamua atakalo kwa yeyote hadi kufikia kupora watu mali zao hadi kunyang'anya watu haki ya kuishi hayo ndiyo yanayomtesa kwani hana madaraka tena 7bu aliishi as if there is no 2morrow.
Kwa hiyo wewe kama ulikuwa mchepuko wake uukafaidi ukanunuliwa na IST na huenda bado unakula bata na baba Keagan endelea lakini haya unayoyaona humu ndani ni mawazo ya watu ambao wamo waliokuzidi kimo, uchumi, elimu, maarifa etc na hii yoote ni reflection ya maisha ya makonda akiwa madarakani.