Hivi Makonda ndio wakuishi kama digidigi kweli?

Ale bata wapi ndugu yangu,mwenye mbea kafa mbwa wote wanapata shida,hakuna kiongozi wa juu anayetaka kumsikia yule matakro
 
Makonda haishi kama digidigi, makonda yupo sana tu. Huo ujinga wenu mliomezeshwa na kubenea mnajipotezea tu muda. Ni bora muutumie kumuokoa gaidi
Makonda anakula zake maisha na Range yake A town hana papara. Nyie endeleeni kujilisha ujinga
Mwambie ajitokeze na msambwanda pilato anamhitaji
 
Tatizo ile kukaa tu kizimbani kama mshtakiwa itamuathiri sana kisaikolojia
 


Digi Digi ni mnyama mwenye haya na hupenda kula kwa machale sana akisoma mazingira akishtushwa tu anaondoka kwa spidi kali huku akipiga hatua za zig zag mpaka mambo yawe shwari.


Hata mimi ningekuwa Makonda nisingeibuka mahakamani sababu swali la kwanza linaweza kuwa kuulizwa umezaliwa wapi na vipi elimu

Oohh kolomoje

Elimu msingi mwala gani ulimaliza

Nilimaliza mwaka xxx

Mbona mwaka huo shule hiyo hakuna Makonda aliyemaliza hapo.

Nilikuwa natumia Bashite

Aah haa we ni Bashite au Makonda

HATA mi ningeishi kama huyo jamaa hapo. Kwa mtindo wa Zig zaga kama dig digi.
 
Hata mimi ningekuwa Makonda nisingeibuka mahakamani sababu swali la kwanza linaweza kuwa kuulizwa umezaliwa wapi na vipi elimu[emoji23]
 
Wangecheki kwa sangoma kule kolomije
Nasikia kuna ka mzizi fulani unaweka mdomoni halafu pale mahakamani akiishaingia hakimu tu unakatafuna halafu Paaap unapotea wanakuwa hawakuoni.
 
Madhara ya dhambi ndiyo haya, dhambi huanza kumtafuna mtu hapahapa duniani. Muda wa kuomba msamaha ungalipo ila mahakama imeamua yake
 
Kimsingi makonda alikuwa dikteta, na kama angepata uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi huyu jamaa tungeshuhudia ubabeubabe mwingi na udhalilishaji wa raia sambamba na ukiukwaji mkubwa wa haki za raia kusudi tu aonekane anafanya kazi nzuri kwa bosi wake na kutaka sifa za kilumbukeni kwenye uongozi
 
Lakini hata shetani ana watetezi.. Imagine kuna watu wanaona anaonewa! Ama tunamuonea wivu
 
Kaka Mshana naomba unisaidie contact zako mkuu,nicheck kupitia 0754991764
Huyu ni Nyani mzee sana" Chui ,Simba , Nyoka na wanyama wakali wote kwenye msitu huu wamechemsha kwake. ...

Halafu wewe unakuja kirahisi hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…