Hivi Makonda ndio wakuishi kama digidigi kweli?

Aliyemtolea nape bastola ni gilbert kalanje au henry Kisanduku je ni mtu mmoja majina tofauti au ni watu tofauti
 
Mbona Mavunde,Nape,Makamba, Ridhiwani wapo vizuri.Shida ni yule Bwana alitaka watu wa kufanana na yeye akiamini angeweza Pambana na Nature akapasuka msamba.
Yule Bwana aliangalia uwezo wako binafsi wa kuwashughulikia wapinzani Ili akupe teuzi ikiwa kama cv yake thus aliteua hooligans people.
Hata Happy yupo kwa sababu ya udini tu vinginevyo angeshatumbuliwa kama chawa wenzake.
 
Huyu ni Nyani mzee sana" Chui ,Simba , Nyoka na wanyama wakali wote kwenye msitu huu wamechemsha kwake. ...

Halafu wewe unakuja kirahisi hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh[emoji15][emoji3064][emoji848][emoji2827]
 
Amejitokeza insta kwa kiburi na dharau, ngoja wakalipunguze hilo wowowo jela ndo atajua ndumba sio KILA kitu

 
Huyu si ndo alikuwa ana address "WANANCHI WANGU WA DSM"
Go Bashite mutu ya Kolomije,chapa kazi Magu alikukubali sana kwa nini unamuangusha kwa kujificha???



 
Trash yaani taka taka.
 
Mbona Kigwangalla hana madaraka?why jamaa tu?hivi wewe kwa akili yako uwe mfanyakazi pale B.O.T halafu ukaondoka au ukaondolewa B.O.T lets say ukaanza kufanya kazi sehemu nyingine ambayo kihadhi ni ndogo au usipate kazi kabisa ukabaki mtaani tu je utaishi maisha yale yale kama zamani ulivyokuwa B.O.T??Watanzania wenzangu tufiche ujinga kama tumeshindwa kuuondoa.
 
Tafuta pesa, mtu mwenye pesa hawezi kutokwa povu hivi.
Kweli nimeamini umaskini ni mbaya sana, Kama umekasirika sana kunya boga
 
Kwahiyo Mh.Mbowe aliyepo mahabusu yapata muda sasa na yeye anafanyiwa hivyo hivyo?FICHA UJINGA.
Anza kutafuta Kazi nyingine boss wako makonda mwaka haushi atakuwa jela.Kama unamdai kama Shamba boy wake wahi mapema akulipe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…