Hivi mamlaka husika zilikuwa wapi mpaka kipande cha "unyanyasaji wa kingono" kinaandikwa kwenye kitabu cha Kabendera?

Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake ambaye kwa sasa ni Rais wetu. Naomba isiwe kweli kabisa.

Yaani mwendazake alivaa pajama ili akambake mama yetu na Rais wetu ? Duuuuuuh! Imeniuma sana kwasababu kiukweli nampenda sana huyu mama jamani na sikupenda kabisa hii taarifa itoke. Na ninaomba usiku na mchana iwe uongo kabisa na Kabendera ashughulikiwe aisee.

Nimejikuta najiuliza maswali mengi sana.

i/ Tukio la ubakaji liliishia hatua gani? Je, ni hatua ya kujibizana kwa maneno tu au palitokea purukushani yoyote ile? Inauma jamani Mmmmmh!

il/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea wapi ofisini,chumbani au sebureni? Jamani jamani.

iii/ Kipindi mwendazake akiwa amevaa pajama mama yetu sijui alikuwa amevaa nini? Nazidi kuumia sana.

iv/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea asubuhu,mchana,jioni au usiku? Kaaaah jamani.

v/ Shuhuda wa tukio la ubakaji ni nani na walikuwa mashuhuda wangapi? Na wao walikuwa wanafanya nini kipindi ubakaji unataka kutokea?

vi/ Huyu shuhuda ni mzalendo kiasi gani mpaka akatoa taarifa mbaya kama hii kwa Kabendera ili iandikwe watu waisome? Alishindwa kunyamaza jamani!

vii/ Lengo la kuiweka taarifa hii ya ubakaji ni nini jamani? Duuuuuh uwiiiiii.

viii/ Kabendera kakosa uzalendo kiasi gani mpaka akaamua kuandika taarifa ya hovyo kama hii ili watu waisome? Kwani kila ukweli lazima usemwe! Kama ni kweli lakini.

ix/ Hivi kabendera ni mtanzania mwenzetu kweli?

Mbona Kabendera alikuwa na taarifa nyingine nyingi tu za kuandika kama zile za kina Ben saanane kulikuwa hakuna haja ya kuandika taarifa ya kutaka kubakwa kwa Rais wetu.

Ila nilifurahi sana kusikia Rais wetu alimkatalia Mwendazake kutimiza hazma yake ya ubakaji na nilifurahi zaidi kusikia mama yetu na Rais wetu ilumuuma sana mpaka akataka kujiuzulu umakamu wa Rais.

Mamlaka kwanini mmeruhusu haya yaandikwe na Kabendera? Mnatutesa sisi wengine wenye mapenzi ya dhati na mama yetu na Rais wetu. Kuna vitu hasi hatupaswi kusikia kabisa kuhusu Rais wetu jamani. Sisi tulisheni taarifa chanya za tu za Rais wetu. Hizi za kubakana msingetuletea kabisa. Aaaaghhhhh.

Ila Kabendera miyeyusho sana huyu jamaa nyie hamjui tu.
Kabendera amsingizie marehem ili iweje Kwa aliyoandika humo Na Mambo aliyokua akifanya kwenye utawala wake me sishangai wala
 
Kwani waandamizi wa serikali wanasemaje maana aliyetaka kubakwa hapo ni mkuu wa nchi wa sasa, inatia mashaka kuona ukimya umekuwa mwingi, maana ni aibu kutaka kubakwa
 
Vipi kama alietaka kubakwa ameridhia umma ujue ? Yeye inamuuma sana pia...hakuna siri media zote hizi utazuiaje ? How ...huweziii
Habari Ndo hyoo!!

Permission was granted
 
Najaribu kutafakari katika mtazamo wa namna ya tofauti kidogo sikatai kwamba yaliyoandikwa yalitokea na sikubali kwamba yaliyotokea yalitokea kweli.

Kwasababu gani?
1.Kwani Rais na Makamu wanaishi nyumba moja kama familia ya mke na mume?

2.Wakati anatoka kwenye nyumba yake usiku akiwa na pajama kwenda kumbaka Makamu wake,walinzi wake walikuwa wapi,walimuuliza anaenda wapi,kufanya nini usiku huu? Rais analindwa,anaelekezwa kila kitu cha kufanya, kila hatua yake inaenda na ratiba za walinzi wake.

3.Je, wakati amefika kwa Makamu wake walinzi wake walisemaje, walimruhusu kwamba nenda chumbani kwake ukamuone kana kwamba anaishi kwenye nyumba kama zetu kutokea korido tayari tu umeshafika chumbani na kitanda hicho hapo,hakuna mahali pa kusubiria na wasaidizi wake hawakuwepo?

4.Kama Makamu alifuatwa chumbani kwake,vipi walinzi wake hawakusema ngoja tumtaarifu kwanza ili ajiandae avae vizuri? Kwamba naye alikutwa amevaa pajama wakati tunaambiwa hakukuwa na makubaliano?(Hapa ninatafakari labda alitoka hajajisitiri vizuri ikawa rahisi kupata kichocheo cha kubaka)

5.Hiyo tarehe ya hilo tukio imetajwa ili twende huko Ikulu tuangalie picha za ulinzi kama zipo,tuangalie majina ya walinzi wote waliokuwa zamu siku hiyo ili watupe uhakika wa hili tukio,halafu tuwahoji baada ya hilo tukio wao walichukua hatua gani?

6.Muathirika wa hilo tukio yupo,je, anaweza kutundolea hii sintofahamu ambayo imetokea ili tuujue ukweli?

7.Hivi tujiulize tena kwanini hizi habari zimekuja wakati huu, lengo lake ni nini hasa? Lina faida gani kwa taifa letu?

8.Watanzania wenzangu ebu lipimeni hili jambo katika mtazamo wa kizalendo, mila,desturi na tamaduni zetu.Je,limekaaje? Halimdhalilishi hata anayedaiwa kutaka kufanyiwa hicho kitendo?

9.Hapa tunapata picha nyingine kwamba kumbe unaweza kwenda usiku wa manane Ikulu ukaonana na Rais na Makamu wake kirahisi hata walinzi wasikufanye chochote, wametupa ramani ya kuingia huko ndani kiwepesi sana.(Usiku wa manane muda ambao watu amelala kwasababu imetajwa pajama).

Sitetei uovu. Uovu ni uhalifu haijalishi nani anautenda ila anayetuhumiwa hayupo. Kama ni kuandika maovu ya viongozi itungwe sheria ili kila anayetoka madarakani yaandikwe yote mabaya yake aliyoyatenda, awe hai au amekufa labda litakuwa somo kwa watakaofuata watakuwa makini kutotenda uovu.

N:B. "Kuna haja ya nchi kuendelea kurekebisha sera za nchi na mitaala ya elimu.Suala la kupita JKT,MGAMBO, SKAUTI liwe kwa Watanzania wote,lasivyo kuna siku nchi itauzwa kwa kipande cha mkate "

Kheri ya Mwaka Mpya 2025.
 
These are very tough questionnaires difficult to respond with empty words expecting to be applauded by everybody unchallenged!!
 
Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake ambaye kwa sasa ni Rais wetu. Naomba isiwe kweli kabisa.

Yaani mwendazake alivaa pajama ili akambake mama yetu na Rais wetu ? Duuuuuuh! Imeniuma sana kwasababu kiukweli nampenda sana huyu mama jamani na sikupenda kabisa hii taarifa itoke. Na ninaomba usiku na mchana iwe uongo kabisa na Kabendera ashughulikiwe aisee.

Nimejikuta najiuliza maswali mengi sana.

i/ Tukio la ubakaji liliishia hatua gani? Je, ni hatua ya kujibizana kwa maneno tu au palitokea purukushani yoyote ile? Inauma jamani Mmmmmh!

il/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea wapi ofisini,chumbani au sebureni? Jamani jamani.

iii/ Kipindi mwendazake akiwa amevaa pajama mama yetu sijui alikuwa amevaa nini? Nazidi kuumia sana.

iv/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea asubuhu,mchana,jioni au usiku? Kaaaah jamani.

v/ Shuhuda wa tukio la ubakaji ni nani na walikuwa mashuhuda wangapi? Na wao walikuwa wanafanya nini kipindi ubakaji unataka kutokea?

vi/ Huyu shuhuda ni mzalendo kiasi gani mpaka akatoa taarifa mbaya kama hii kwa Kabendera ili iandikwe watu waisome? Alishindwa kunyamaza jamani!

vii/ Lengo la kuiweka taarifa hii ya ubakaji ni nini jamani? Duuuuuh uwiiiiii.

viii/ Kabendera kakosa uzalendo kiasi gani mpaka akaamua kuandika taarifa ya hovyo kama hii ili watu waisome? Kwani kila ukweli lazima usemwe! Kama ni kweli lakini.

ix/ Hivi kabendera ni mtanzania mwenzetu kweli?

Mbona Kabendera alikuwa na taarifa nyingine nyingi tu za kuandika kama zile za kina Ben saanane kulikuwa hakuna haja ya kuandika taarifa ya kutaka kubakwa kwa Rais wetu.

Ila nilifurahi sana kusikia Rais wetu alimkatalia Mwendazake kutimiza hazma yake ya ubakaji na nilifurahi zaidi kusikia mama yetu na Rais wetu ilumuuma sana mpaka akataka kujiuzulu umakamu wa Rais.

Mamlaka kwanini mmeruhusu haya yaandikwe na Kabendera? Mnatutesa sisi wengine wenye mapenzi ya dhati na mama yetu na Rais wetu. Kuna vitu hasi hatupaswi kusikia kabisa kuhusu Rais wetu jamani. Sisi tulisheni taarifa chanya za tu za Rais wetu. Hizi za kubakana msingetuletea kabisa. Aaaaghhhhh.

Ila Kabendera miyeyusho sana huyu jamaa nyie hamjui tu.
Hizo zote ni Sinema za akina Kabendela,yaani unaandika kitabu kwa hasira lzm utaandika na yasiyokuwepo maana ndio tabia ya hasira.
 
kuna uwezekano mkubwa magufuli alifanya mambo ya ajabu kwenye utawala wake, lakini pia kuna mazuri alifanya nafikiri mwandishi wa hiki kitabu alipaswa kuandika na hayo pia kuleta mizania sawa . Tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu mkuu , ili uchaguzi uwe mpesi lazima legacy ya yake aliyoiacha kwa wananchi uiondolewe kabisa huenda mwandishi ametumika pia kufanikisha hili
 
Kama fiction yoyote kuna ukweli kwenye baadhi ya mambo na kuna uongo kwenye mambo mengi tu.

Of course kufungwa jela, Mama yako kufariki ukiwa jela ni jeraha ndani ya moyo wa binadamu la kudumu. Hiyo inaweza kumsukuma mtu kufanya vitu kadhaa, hata kujitoa mhanga to even and settle the scores. Nini kinamsukuma anajua yeye sababu ya kuandika zipo nyingi tu. Pesa, kupata ukimbizi, chuki, ametumwa na watu, umaarufu nk.

Vitabu vingi sana vimeandikwa vya kizushi. Kitabu hata wewe unaweza kuandika na kuchapisha Amazon. Ila unaweza kushtakiwa, ulipe faini au kufungwa kwa maneno yako usipokuwa na ushahidi.

Nafikiri anafikiri wahusika hawawezi kumpeleka mahakamani sababu labda yataibuka mengine.

Mfano nikisema wewe ni mlawiti, mbakaji unaweza kuamua uachane na kesi usiipe more publicity ukaamua ku- deal na muhusika kivyako. Hata ukishinda bado kuna watu watadhani labda ulifanya hayo.

Salim Ahmed Salim alizushiwa kwamba ni gaidi wa kiarabu, kwamba alimuua Karume, akapinga akasafishika lakini ilikuwa inatosha kumtia doa na kushindwa kuwa mgombea wa CCM wa urais.
Salim A S walimpachika uhizibu🤣🤣🤣🤣
 
Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake ambaye kwa sasa ni Rais wetu. Naomba isiwe kweli kabisa.

Yaani mwendazake alivaa pajama ili akambake mama yetu na Rais wetu ? Duuuuuuh! Imeniuma sana kwasababu kiukweli nampenda sana huyu mama jamani na sikupenda kabisa hii taarifa itoke. Na ninaomba usiku na mchana iwe uongo kabisa na Kabendera ashughulikiwe aisee.

Nimejikuta najiuliza maswali mengi sana.

i/ Tukio la ubakaji liliishia hatua gani? Je, ni hatua ya kujibizana kwa maneno tu au palitokea purukushani yoyote ile? Inauma jamani Mmmmmh!

il/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea wapi ofisini,chumbani au sebureni? Jamani jamani.

iii/ Kipindi mwendazake akiwa amevaa pajama mama yetu sijui alikuwa amevaa nini? Nazidi kuumia sana.

iv/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea asubuhu,mchana,jioni au usiku? Kaaaah jamani.

v/ Shuhuda wa tukio la ubakaji ni nani na walikuwa mashuhuda wangapi? Na wao walikuwa wanafanya nini kipindi ubakaji unataka kutokea?

vi/ Huyu shuhuda ni mzalendo kiasi gani mpaka akatoa taarifa mbaya kama hii kwa Kabendera ili iandikwe watu waisome? Alishindwa kunyamaza jamani!

vii/ Lengo la kuiweka taarifa hii ya ubakaji ni nini jamani? Duuuuuh uwiiiiii.

viii/ Kabendera kakosa uzalendo kiasi gani mpaka akaamua kuandika taarifa ya hovyo kama hii ili watu waisome? Kwani kila ukweli lazima usemwe! Kama ni kweli lakini.

ix/ Hivi kabendera ni mtanzania mwenzetu kweli?

Mbona Kabendera alikuwa na taarifa nyingine nyingi tu za kuandika kama zile za kina Ben saanane kulikuwa hakuna haja ya kuandika taarifa ya kutaka kubakwa kwa Rais wetu.

Ila nilifurahi sana kusikia Rais wetu alimkatalia Mwendazake kutimiza hazma yake ya ubakaji na nilifurahi zaidi kusikia mama yetu na Rais wetu ilumuuma sana mpaka akataka kujiuzulu umakamu wa Rais.

Mamlaka kwanini mmeruhusu haya yaandikwe na Kabendera? Mnatutesa sisi wengine wenye mapenzi ya dhati na mama yetu na Rais wetu. Kuna vitu hasi hatupaswi kusikia kabisa kuhusu Rais wetu jamani. Sisi tulisheni taarifa chanya za tu za Rais wetu. Hizi za kubakana msingetuletea kabisa. Aaaaghhhhh.

Ila Kabendera miyeyusho sana huyu jamaa nyie hamjui tu.
Yaelekea wewe ni mkenya siyo!
Watanzania wengi tumesoma hiyo sentensi mara kadhaa na hatukuuelewa tafsiri/maana yake ila wewe umeing'amua vyema.

Ila siwalaumu watanzania, kama@Kiranga alishindwa kulitafsiri Poor Brain, Mshangazi na BRAZA CHOGO wangewezaje
 
Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake ambaye kwa sasa ni Rais wetu. Naomba isiwe kweli kabisa.

Yaani mwendazake alivaa pajama ili akambake mama yetu na Rais wetu ? Duuuuuuh! Imeniuma sana kwasababu kiukweli nampenda sana huyu mama jamani na sikupenda kabisa hii taarifa itoke. Na ninaomba usiku na mchana iwe uongo kabisa na Kabendera ashughulikiwe aisee.

Nimejikuta najiuliza maswali mengi sana.

i/ Tukio la ubakaji liliishia hatua gani? Je, ni hatua ya kujibizana kwa maneno tu au palitokea purukushani yoyote ile? Inauma jamani Mmmmmh!

il/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea wapi ofisini,chumbani au sebureni? Jamani jamani.

iii/ Kipindi mwendazake akiwa amevaa pajama mama yetu sijui alikuwa amevaa nini? Nazidi kuumia sana.

iv/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea asubuhu,mchana,jioni au usiku? Kaaaah jamani.

v/ Shuhuda wa tukio la ubakaji ni nani na walikuwa mashuhuda wangapi? Na wao walikuwa wanafanya nini kipindi ubakaji unataka kutokea?

vi/ Huyu shuhuda ni mzalendo kiasi gani mpaka akatoa taarifa mbaya kama hii kwa Kabendera ili iandikwe watu waisome? Alishindwa kunyamaza jamani!

vii/ Lengo la kuiweka taarifa hii ya ubakaji ni nini jamani? Duuuuuh uwiiiiii.

viii/ Kabendera kakosa uzalendo kiasi gani mpaka akaamua kuandika taarifa ya hovyo kama hii ili watu waisome? Kwani kila ukweli lazima usemwe! Kama ni kweli lakini.

ix/ Hivi kabendera ni mtanzania mwenzetu kweli?

Mbona Kabendera alikuwa na taarifa nyingine nyingi tu za kuandika kama zile za kina Ben saanane kulikuwa hakuna haja ya kuandika taarifa ya kutaka kubakwa kwa Rais wetu.

Ila nilifurahi sana kusikia Rais wetu alimkatalia Mwendazake kutimiza hazma yake ya ubakaji na nilifurahi zaidi kusikia mama yetu na Rais wetu ilumuuma sana mpaka akataka kujiuzulu umakamu wa Rais.

Mamlaka kwanini mmeruhusu haya yaandikwe na Kabendera? Mnatutesa sisi wengine wenye mapenzi ya dhati na mama yetu na Rais wetu. Kuna vitu hasi hatupaswi kusikia kabisa kuhusu Rais wetu jamani. Sisi tulisheni taarifa chanya za tu za Rais wetu. Hizi za kubakana msingetuletea kabisa. Aaaaghhhhh.

Ila Kabendera miyeyusho sana huyu jamaa nyie hamjui tu.
Jpm alikuwa ni shetani. Over
 
Hivi muliopata wasaa kupitia hiko kitabu,Hakuna mahali amegusia kuhusu Hizo story wanasema alimkula mpaka kumzalisha Yule Angella lile limama lizuri white li Waziri?
Na wanadai jamaa ana umeme, so atakuwa kamsambazia mama wa watu , au Maza alikuwa anaotumia pref , na wanadai kamzalisha kabisa, Jani jamaa alikuwa anamwagia ndani, hii si fedheha, Taifa liko matopeni.
 
Wewe wakili unasema hizi ni za ukweri 😂😂
EK ni IJ journalist,ameandika alichoambiwa,aka double check na ku cross check, akajiridhisha akaandika。 unless kama una ukweli tofauti。Ila sio lazima kuusema kila ukweli unausikia,Si lazima kila Ukweli usemwe, ukweli mwingine is FYE only! Uzalendo wa kweli ni pamoja kuwa na Kabbah, unahifadhi ukweli kifuani mwako, unakufa nao pia niliwahi kuuliza Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele ‘Maslahi ya Taifa’?

P
 
Back
Top Bottom