Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Did JPM personally torture Eric Kabendera or the security instruments?Good analysis..
Kwa nyongeza tu ni kuwa, Erick Kabendera yeye mwenyewe direct ni victim wa matendo haya..
He was physically, mentally and psychologically tortured...
So, he is himself the evidence...!
If JPM was personally involved in torturing Eric Kabendera, where did this malpractice take place?
When this was happening was the security instrument present witnessing the animosity act?
Was the presidential security unit involved in incarcerating Eric Kabendera and what was the root cause?
Kura zilipigwa wengi ya wanasheria walikataa, je kwanini aliendelea na hao wachache kuendeleza chuki zake binafsi akishabikiwa na wadau wake wenye mlengo kama wa kwake?By the way, katika uandishi (work of literature), kazi ya mwandishi ni kuwasilisha reality iliyoko ktk jamii...
Huwezi kuweka ushahidi kwenye maandishi ya kitabu. Kitabu kinatoa simulizi tu ya tukio (event) pamoja na wahusika wa tukio hilo, nani alifanya nini..
Kazi ya Erick Kabendera ni NONE FICTION na siyo kazi ya ubunifu tu (creative writing). Anasimulia matukio halisi yaliyofanywa na watu halisi...
Kwa kesi, ni lazima kuwa kazi yake imepitishwa ktk vipimo vyote ya kisheria na kimaadili...
Katika interview yake kafafanua vizuri sana. Na maswali yako yote haya yamejibiwa...
Anasema kazi yake hii imepitiwa na wanasheria zaidi ya 50 kuipima iwapo haitaleta mgogoro na matatizo ya kisheria ikiachiwa kwenda hewani...
Kama hivyo ndivyo ujuajwa mwambie aanike kinachotokea sasa kwenye kiti cha SSH na kilichotokea enzi ya AHM, BWM na JMK to prove his fairness and unbiased, motivated by personal hatred.Anasema pia, haya yanauozua mjadala sasa ktk kazi ya awali yalikuwa mengi zaidi kiasi cha kubeba page 15 lakini yakawa minimized page 3 tu...
Hii ni maana yake ni kuwa, yaliyokuwa hayana defense ya nguvu ya kisheria, waliyaacha na pengine wanaendelea kutafuta ushahudi madhubuti zaidi...
Kwa haya yaliyopo, bila shaka yamepitia hatua zote na yako supported na concrete evidence. Adhaniaye ameonewa, aende kuthibitisha kuthibitisha uonevu huo kuwa amepakaziwa uongo...
After all watu hawajui tu...
Hizi ofisi za watu wakubwa hawa wenye mamlaka na nguvu za ku - HIRE and FIRE zimejaa uchafu na matendo ya kutisha na mabaya mengi mno...!
Mimi hata sishangai wala kuona ajabu kabisa...