Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,769
- 2,523
Hivi Saa100 ana uzuri gani hadi watu wamtamani kumbaka?In the name of president , nimesoma hiki kitabu kuna mambo mengi ni ya uongo kwa ukweli nilionao mimi , na katika yaliyoandikwa ambalo sina uhakika nalo ni hili la kwenda kwa vice na pajama .
1.Magufuli alikuwa muda mwingi sana usiku yuko macho na ndio alikuwa anafanya shughuli zake ,sioni ajabu yeye muda huo kuwa na pajama.
2.Magufuli alikuwa Rais muda wote ana ulinzi ni ngumu sana kufanya hilo tukio tena kwa kiongozi mwenzake .
3.Hatujui ukaribu wao ulikuwaje kabla , na Magufuli he was a man like other men na inawezekana kweli alikuwa na issue ya kudiscuss muda ila akachukulia poa code ya mavazi .
Je huwezi fanya kikao na pajama ? Nadhani tunajaribu kuoneshwa kuwa yule jamaa alikuwa katili sana .
Jikedume la miaka 60 lina mvuto gani, ada ya mwezi kakoma kupata, hamna joto ila baridi limetarandadi,
Yaani mtu amwache mwenye kidoti halafu aende kwa kizee, hata 💄 💄 nyekundu inadunda kupendezesha mdomo?
Saa💯 na wenzake walio nyuma ya mwandishi wa kitabu ni wasafi kiasi gani, wana uhalali kiasi gani mbele ya dhamiri zao na uweponi pa Mungu kuzua ya kuzua na kutumia watu kuwasilisha agenda zao?
Hakimu Kristo Yesu aliwaambia wale waliomfumania mwanamke kwenye uzinzi wakitaka wampe adhabu ya kumuua kwa kumrushia mawe hadi afe kuwa "ambaye hana dhambi na awe wa kwanza kurusha jiwe"
Saa 💯 mara gapi katuhumiwa kwa kuwa Blender kwa wenzake, full kusanga juice?
KJ alikuwa akituhumiwa kwa maswala ya liwati, hadi akapata madhara ya kufanyiwa operesheni Marekana kipindi kile,
Hawa wawili uko wapi usafi wao na uhalali wa kunyosha vidole kwa wenzao???