Hivi mapenzi ya JF yana wivu? Nauliza tu.

Mbona wacheka

Sent using Jamii Forums mobile app
Daby kasema kwamba ..waweza kukuta mwenza wako kwakuwa anaogopa kukuumiza ..basi anaamua kufungua id nyingine ambayo anakuwa anaitumia " katika mambo yake " ya kubebishana na kulana ..... in short mapenzi ya jf ni kisukari kama sio cancer ..... otherwise umpate mtu anaye jitambua na kuji heshimu/kukuheshimu kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Kuna muda wa utani pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…