Hivi mapenzi ya JF yana wivu? Nauliza tu.

Hivi mapenzi ya JF yana wivu? Nauliza tu.

Mbona wacheka

Sent using Jamii Forums mobile app
Daby kasema kwamba ..waweza kukuta mwenza wako kwakuwa anaogopa kukuumiza ..basi anaamua kufungua id nyingine ambayo anakuwa anaitumia " katika mambo yake " ya kubebishana na kulana ..... in short mapenzi ya jf ni kisukari kama sio cancer ..... otherwise umpate mtu anaye jitambua na kuji heshimu/kukuheshimu kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha nitaheshimu huu mchango wako ...maana anayeongea ni victim mkubwa katika hili

Sent using Jamii Forums mobile app[ /QUOTE]

Hahahahaha.. acha tu rafiki.. Kuna muda huwa nakaa nawaza what if Smart911 akiwa anamkula mdada mwingine humu kwa id nyingine..Au akaamua kumega mwingine kimya kimya kwa makubaliano ya naomba umuheshimu mahondaw wangu.... nawazaga tu thou i know he's smart enough hawezi fanya hivo... mawazo tu ya kibinadamu
 
Daby kasema kwamba ..waweza kukuta mwenza wako kwakuwa anaogopa kukuumiza ..basi anaamua kufungua id nyingine ambayo anakuwa anaitumia " katika mambo yake " ya kubebishana na kulana ..... in short mapenzi ya jf ni kisukari kama sio cancer ..... otherwise umpate mtu anaye jitambua na kuji heshimu/kukuheshimu kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna muda wa utani pia
 
Back
Top Bottom