sabosabo
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 2,050
- 5,066
Kabisa Mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa Mkuu!
Lol ..unaishi kwa matumainiTupo wengii Mkuu!
Ila tuvumilie tu inaweza siku tukawa promoted kutoka mshika pembe mpaka kutunikiwa!
Hatari yanini sasa... wakati wao ni watu wazima na wameamua kupeana utamu kwa raha zao !
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ... wapo kama watatu hivi .. huyo mmoja nimeshamjuaKuna manzi mmoja humu akiwa mtu wako kama unawivu lazima ujitundike aisee....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina haraka kabisa Mkuu!naendelea tu kuwasubiria!
Haha ..ulidhani kwamba kuna siku utafikiriwa .!!? Au ndio mna tuzuga tu hapa ..kumbe pm ..kuna mazito yanayo endelea kati yenu mpaka server zinataka ku bustUmeniumiza roho superstar.
Sasa hapa ..huyo jamaa yako anaye kukula siatakuwa ameshazimia huko alipo !!Nisamehe superstar wanguu... Kwani unampango wa kubadili gia angani my superstar?!
Daby kasema kwamba ..waweza kukuta mwenza wako kwakuwa anaogopa kukuumiza ..basi anaamua kufungua id nyingine ambayo anakuwa anaitumia " katika mambo yake " ya kubebishana na kulana ..... in short mapenzi ya jf ni kisukari kama sio cancer ..... otherwise umpate mtu anaye jitambua na kuji heshimu/kukuheshimu kweli kweli
Lol ...jamaa yake kaisoma hii ...!!? ...WW3 coming soonHahahaha, nikionaga post zako hasa km hz ,nafurahi sana ,huwa nakuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha nitaheshimu huu mchango wako ...maana anayeongea ni victim mkubwa katika hilimkuu mtoa mada ukicheka na nyani utavuna mabua ujue watu haturembi ohoooo
Na yanahitaji moyo haswa lasivo
cc Smart911
Haha nitaheshimu huu mchango wako ...maana anayeongea ni victim mkubwa katika hili
Sent using Jamii Forums mobile app[ /QUOTE]
Hahahahaha.. acha tu rafiki.. Kuna muda huwa nakaa nawaza what if Smart911 akiwa anamkula mdada mwingine humu kwa id nyingine..Au akaamua kumega mwingine kimya kimya kwa makubaliano ya naomba umuheshimu mahondaw wangu.... nawazaga tu thou i know he's smart enough hawezi fanya hivo... mawazo tu ya kibinadamu
Acha zibust tuu mkuuHaha ..ulidhani kwamba kuna siku utafikiriwa .!!? Au ndio mna tuzuga tu hapa ..kumbe pm ..kuna mazito yanayo endelea kati yenu mpaka server zinataka ku bust
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi zimia kabisaaa...Sasa hapa ..huyo jamaa yako anaye kukula siatakuwa ameshazimia huko alipo !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna muda wa utani piaDaby kasema kwamba ..waweza kukuta mwenza wako kwakuwa anaogopa kukuumiza ..basi anaamua kufungua id nyingine ambayo anakuwa anaitumia " katika mambo yake " ya kubebishana na kulana ..... in short mapenzi ya jf ni kisukari kama sio cancer ..... otherwise umpate mtu anaye jitambua na kuji heshimu/kukuheshimu kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Vibaya hivyo ..halafu sisi tutaitumia vipi jf !?Haha nitaheshimu huu mchango wako ...maana anayeongea ni victim mkubwa katika hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unaongea mwenyewe mkuuVibaya hivyo ..halafu sisi tutaitumia vipi jf !?
Wewe sema hawezi tu. .gals wenyewe watanga nyinyi viuno kama feni LA kupoza rejeta hahaKuna muda wa utani pia