Hivi mapenzi ya JF yana wivu? Nauliza tu.

Wewe sema hawezi tu. .gals wenyewe watanga nyinyi viuno kama feni LA kupoza rejeta haha
Aiseee
Ndo maana nasema, mie nitanianee weee ila yeye akitaniana naumia sana jamanii
 
kama walijua hilo ..kwanini una sikia wivu ..pindi mpenzi wako akitaniana na wadada wengine humu!?
 
Huo muda sasa hata hana
Na sipendi kumuwazia mabaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yeah yanatokea hayo ..tena humu jf ni kichaka kikubwa mnoo ..mambo kama hayo haya shindikana lakini yanaweza yasifanywe na smart ..muhimu ukitaka ufaulu humu yatakiwa ujiepushe na negative thoughts. .ijapokuwa sio jambo rahisi
 
Yeah. Na panic/ temper pia nipunguze ni za kuepuka.. Kuwa easy taker Yani

Cc Smart911
yeah yanatokea hayo ..tena humu jf ni kichaka kikubwa mnoo ..mambo kama hayo haya shindikana lakini yanaweza yasifanywe na smart ..muhimu ukitaka ufaulu humu yatakiwa ujiepushe na negative thoughts. .ijapokuwa sio jambo rahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni siri ya mtungi mkuu...
Ila asibebishane tuu mie nitakufwa
Daah haha. Kwakweli hapo kwenye kuto bebishana ..hata mimi ningekuwa nae nisingependa kuliona hilo ...kwa sababu mapenzi ya watu wa humu huwa yanaanzia kwenye majukwaa
 
Daah haha. Kwakweli hapo kwenye kuto bebishana ..hata mimi ningekuwa nae nisingependa kuliona hilo ...kwa sababu mapenzi ya watu wa humu huwa yanaanzia kwenye majukwaa
Hebu agiza maji hapo naja kulipaaa...
Wanaanzaga kama utani tuu jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…