Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
AiseeeWewe sema hawezi tu. .gals wenyewe watanga nyinyi viuno kama feni LA kupoza rejeta haha
Ndo maana nasema, mie nitanianee weee ila yeye akitaniana naumia sana jamanii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeeWewe sema hawezi tu. .gals wenyewe watanga nyinyi viuno kama feni LA kupoza rejeta haha
true ..lakini kwa wapenzi wa humu ..ni wachache mno .walioamua kuishi katika mstari wa hiyo theory yako
Hahaha jinga kweli .wataka kuniambia na yeye kitandani ni kama messi !?Aiseee
Ndo maana nasema, mie nitanianee weee ila yeye akitaniana naumia sana jamanii
Haha nitaheshimu huu mchango wako ...maana anayeongea ni victim mkubwa katika hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Kafa panya??? Kwanuka??🤣🤣🤣
true ..lakini kwa wapenzi wa humu ..ni wachache mno .walioamua kuishi katika mstari wa hiyo theory yako
Huo muda sasa hata hanaDaby kasema kwamba ..waweza kukuta mwenza wako kwakuwa anaogopa kukuumiza ..basi anaamua kufungua id nyingine ambayo anakuwa anaitumia " katika mambo yake " ya kubebishana na kulana ..... in short mapenzi ya jf ni kisukari kama sio cancer ..... otherwise umpate mtu anaye jitambua na kuji heshimu/kukuheshimu kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni siri ya mtungi mkuu...Hahaha jinga kweli .wataka kuniambia na yeye kitandani ni kama messi !?
yeah yanatokea hayo ..tena humu jf ni kichaka kikubwa mnoo ..mambo kama hayo haya shindikana lakini yanaweza yasifanywe na smart ..muhimu ukitaka ufaulu humu yatakiwa ujiepushe na negative thoughts. .ijapokuwa sio jambo rahisiHahahahaha. Wee acha tu rafiki Kuna muda huwa nakaa nawaza what if Smart911 akiwa anamkula mdada mwingine humu kwa id nyingine....nawazaga tu thou i know he's smart enough hawezi fanya hivo. Ni mawazo ya kibinadamu lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha. Wewe???Yeah kabisa mkuu ... Ndio maana sisi wengine tusio uweza ufisi tumeamua tutulie zetu tu ..bila mabebez humu
Sent using Jamii Forums mobile app
nita chukua hiyo sentensi ya pili
yeah yanatokea hayo ..tena humu jf ni kichaka kikubwa mnoo ..mambo kama hayo haya shindikana lakini yanaweza yasifanywe na smart ..muhimu ukitaka ufaulu humu yatakiwa ujiepushe na negative thoughts. .ijapokuwa sio jambo rahisi
Hahaa usitake kuniambia kwamba hauniamini !!Hahahahaha. Wewe???
Daah haha. Kwakweli hapo kwenye kuto bebishana ..hata mimi ningekuwa nae nisingependa kuliona hilo ...kwa sababu mapenzi ya watu wa humu huwa yanaanzia kwenye majukwaaHiyo ni siri ya mtungi mkuu...
Ila asibebishane tuu mie nitakufwa
Ewaaa hiyo ndio siri ya ushindi sasaYeah. Na panic/ temper pia nipunguze ni za kuepuka.. Kuwa easy taker Yani
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
No commentHahaa usitake kuniambia kwamba hauniamini !!
Hebu agiza maji hapo naja kulipaaa...Daah haha. Kwakweli hapo kwenye kuto bebishana ..hata mimi ningekuwa nae nisingependa kuliona hilo ...kwa sababu mapenzi ya watu wa humu huwa yanaanzia kwenye majukwaa
Hahaa nilikuwa sijui kama una nishani ya uzamivu ya uongoKafa panya??? Kwanuka??🤣🤣🤣