Hivi mapenzi ya JF yana wivu? Nauliza tu.

Hivi mapenzi ya JF yana wivu? Nauliza tu.

Mimi kama bachelor sugu wivu huwa na uskia tu kwa watu mara wauwane wachomane visu wachomane moto presha halafu haya majina baby my sijui Honey love yametupotezea nguvu ya Taifa watu wameuana wamekuwa walemavu kwa sababu ya hayo maneno....
 
Back
Top Bottom