Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu tusaidiane andaa mashamba sasa!!!! Lakini pumzika tu nisije haribu mguu wa bia huo nao uwonaHayo ndio mambo sasa
HahahaNdio hivyo kwa mfano uko na mdada mkiingia faragha yeye anabaki kuimba taarabu kweli mtu kama huyo utamuonea wivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha
Kwenye pesa sio inshu tutaandaa tu huo mguu usikutishe, unatembeaga km nyingiiii kweliKaribu tusaidiane andaa mashamba sasa!!!! Lakini pumzika tu nisije haribu mguu wa bia huo nao uwona
Umetisha sana mkuuu hahahhaKama mna mapenzi ya dhati lazima utaona wivu, maana inaanziaga babe ya hapa baadae ya Pm na mwisho ya fundi seremala kwa hiyo lazima karoho kaume
[emoji23][emoji23][emoji23]Akiwa ana laikiwa au kuqoutiwa superstar?
Hahaha kidog tu MkuuUmetisha sana mkuuu hahahha
Nimekuelewa Dada sakayo!!!!dash kwaiyo Kiongozi ndo kashakosa ivo mambo mazuriHuo uchochezi...
Kwangu mimi sio kwa wengine... Umeelewa lakinii... Kiufupi ni kakangu
noted!!! mama kayla siku si nyingi ntakuchuja chumbani kwako kukutembelea tuyajengeKwenye pesa sio inshu tutaandaa tu huo mguu usikutishe, unatembeaga km nyingiiii kweli
Sina mashaka na wewe jirani, basi nikuache ufungue roho tu[emoji4] [emoji4]Hahaha
Ndugu yangu sitaki nikuangushe kabisa,mwezi wenyewe wa mapenzi huu ndio kwanza umeanza!
Ma bachelor sugu tupo kumbe wengi!!!!Mimi kama bachelor sugu wivu huwa na uskia tu kwa watu mara wauwane wachomane visu wachomane moto presha halafu haya majina baby my sijui Honey love yametupotezea nguvu ya Taifa watu wameuana wamekuwa walemavu kwa sababu ya hayo maneno....
Hahahah sawa Baba Kaylanoted!!! mama kayla siku si nyingi ntakuchuja chumbani kwako kukutembelea tuyajenge
Na hatuna mpango wala wazo la kuoaMa bachelor sugu tupo kumbe wengi!!!!
Hahaha hahaha....Nimekuelewa Dada sakayo!!!!dash kwaiyo Kiongozi ndo kashakosa ivo mambo mazuri
Umeandika kweli...bila shaka uzoefu wako utakuwa umekusaidia kwa hili.