Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,006
- 2,963
Hii helaa ya kuzunguka nani analipaaaa swali chokoziiiHizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.
Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?
Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
HatoboiHata taarifa ya kugombea ni wachache walijua,alipopata ndiyo ikawa story kubwa.....ila huyu Janabi, sijui kama atatoboa
This guys, if you scratch them a bit deeper, they are Islamist inside, they are not campaigning out of meritocracy, it's just that he is their fellow Muslim! Ndugulile, being not part of CCM establishment, and bring Christian, they hated him,Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.
Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?
Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Hawezi kupata za ndaaaani kabisa tukutanehapa soon after uchaguziNdungulule ilikuwa no chaguo la WHO wenyewe that's why hakukuwa na mguvu kubwa zaidi ya kuwapeleka tulia na mbunge wa madaba kukamilisha kampeni. Janabi sio chaguo la WHO ndio mana imekuwa kisiasa zaidi.
Unafikiri wataichota wapi kwingine mkuu kama hadi magoli ya Simba na Yanga yananunuliwa kwa fedha za umma?Maana naona kama ni jambo limekuwa kubwa Sana. Na sijui Hela za Kampeni anatoa yeye au zinachotwa toka kwenye Hazina yetu!?
Nimuombee mtu wa namna hiyo ambae anatumia jasho langu kujinufaisha kuzunguka nchi za watu huku akipata executive treatments, no way!.. Mbona mwenzie hakutumia nguvu kiasi hicho.Mkuu basi kwa heshma na taadhima tumumbee,,maana nafasi hiyo ikivaki hapa TZ ni heshima kwetu
Hii kwa akili za kawaida haina mashiko!Nadhani kwasababu alikuwa mwanasiasa ilikuwa rahisi kwake ila huyu wa kupinga kampeni ya kula hajulikani kimataifa.
VOTING RESULTS:Ndungulule ilikuwa no chaguo la WHO wenyewe that's why hakukuwa na mguvu kubwa zaidi ya kuwapeleka tulia na mbunge wa madaba kukamilisha kampeni. Janabi sio chaguo la WHO ndio mana imekuwa kisiasa zaidi.