The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Trump yule sio kichaa yule ndio Raisi ambae wamarekani wanamtaka marekani huwa inahitajika mtu mbabe mbabe ndio huyo sasa kama nayoyafanya unaona sio sahihi basi wananchi wake wangeandamana nnchi nzima maana kwao kuna uhuru wa maoni ila marekani ni tulivuView attachment 3555739
Ukimsikiliza rais wa Marekani Donald Trump kwa makini na bila upendeleo, unagundua ni mtu mwenye changamoto ya akili. Ni muotaji ndoto wa mchana, muongo, mjinga, na mpumbavu. Anaongopa hata bila kuona aibu wala kupepesa macho na bado kuna watu wanamuamini. Napata shida sana kumuelewa na kuwaelewa wale wanaomshabikia. Amewekwa rumenya au kinyumba na mhalifu kama Benjamin Netanyahu na kumfanyia kazi yake chafu hata kwa kuhatarisha usalama wa dunia. Nina swali moja. Hivi hawa wafuasi na wapenzi wa kichaa Trump wana akili hata ya kuendea chooni au ni wagonjwa wa akili wanaopaswa kupimwa na kutibiwa. Trump ananikumbusha Idi Amin Dada na mama.
Nawasilisha baba wa wote baba yenu.
Ni wale watu wa aina kama ya Lucas Mwosha Mbwa na kenge wengine wa Lumumba Street!View attachment 3555739
Ukimsikiliza rais wa Marekani Donald Trump kwa makini na bila upendeleo, unagundua ni mtu mwenye changamoto ya akili. Ni muotaji ndoto wa mchana, muongo, mjinga, na mpumbavu. Anaongopa hata bila kuona aibu wala kupepesa macho na bado kuna watu wanamuamini. Napata shida sana kumuelewa na kuwaelewa wale wanaomshabikia. Amewekwa rumenya au kinyumba na mhalifu kama Benjamin Netanyahu na kumfanyia kazi yake chafu hata kwa kuhatarisha usalama wa dunia. Nina swali moja. Hivi hawa wafuasi na wapenzi wa kichaa Trump wana akili hata ya kuendea chooni au ni wagonjwa wa akili wanaopaswa kupimwa na kutibiwa. Trump ananikumbusha Idi Amin Dada na mama.
Nawasilisha baba wa wote baba yenu.
AjabuTrump yule sio kichaa yule ndio Raisi ambae wamarekani wanamtaka marekani huwa inahitajika mtu mbabe mbabe ndio huyo sasa kama nayoyafanya unaona sio sahihi basi wananchi wake wangeandamana nnchi nzima maana kwao kuna uhuru wa maoni ila marekani ni tulivu
Sasa wewe mkari wa mabwepande ndio unaumia
taratibu taratibu tujibu polepole unakimbia sana madamTrump yule sio kichaa yule ndio Raisi ambae wamarekani wanamtaka marekani huwa inahitajika mtu mbabe mbabe ndio huyo sasa kama nayoyafanya unaona sio sahihi basi wananchi wake wangeandamana nnchi nzima maana kwao kuna uhuru wa maoni ila marekani ni tulivu
Sasa wewe mkari wa mabwepande ndio unaumia
kumekucha 🤣🤣Ajabu
Wa buza ndo anaona akili kuliko wenye rais wao😁
Ni kweli. Umesema vyema. Kwa zwazwa huu uzwazwa. Ila kwa wenye madini kichwani, haya ni madini. Shukrani sana Mwanangu zwazwa.Kuna nyuzi nyingine zinazokingana na sifa ya jf. Mfano, mtu anauliza eti ni faida gani ulipata kwa mwanamke! Kamuulize mama yako ndo utajua faida ya mwanamke.
Mwingine mara usipinge dini fulani na mengine mengi. Kwani hizo dini zenu hazipingwi?
Huwa nashangaa kwanini kuna nyuzi nyingi za kizwazwa zinazokinzana na dhana ya great thinkers.
- The Father of All
- great thinkers nyuzi
- Replies: 1
- Forum: Great Thinkers
Tuondolee uzwazwa hapa
Kwa hiyo wewe una amini una akili kuwazidi mamilioni ya wamarekani waliomchagua?? Au unafikiri kule kuna wizi wa kura?View attachment 3555739
Ukimsikiliza rais wa Marekani Donald Trump kwa makini na bila upendeleo, unagundua ni mtu mwenye changamoto ya akili. Ni muotaji ndoto wa mchana, muongo, mjinga, na mpumbavu. Anaongopa hata bila kuona aibu wala kupepesa macho na bado kuna watu wanamuamini. Napata shida sana kumuelewa na kuwaelewa wale wanaomshabikia. Amewekwa rumenya au kinyumba na mhalifu kama Benjamin Netanyahu na kumfanyia kazi yake chafu hata kwa kuhatarisha usalama wa dunia. Nina swali moja. Hivi hawa wafuasi na wapenzi wa kichaa Trump wana akili hata ya kuendea chooni au ni wagonjwa wa akili wanaopaswa kupimwa na kutibiwa. Trump ananikumbusha Idi Amin Dada na mama.
Nawasilisha baba wa wote baba yenu.
Kwa mujibu wa mtoa mada Anasema na wewe Hauna AkiliInachekesha sana kuona mtu anakaa na kuandika insha ndefu kumjadili Donald Trump kana kwamba ndiye chanzo cha matatizo yote ya dunia, wakati anashindwa hata kusema neno moja kuhusu Yoweri Museveni ambaye amekaa madarakani tangu 1986 mpaka leo.
NakubaliUshabiki huwa hauna logical thinking, ndio maana unaitwa ushabiki...