Uchaguzi 2020 Hivi masikini wataachi lini kutumika kama mitaji ya kisiasa? Je kusaidia masikini vitu, inamfanya vipi mtu kuwa kiongozi mzuri?

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
6,236
Reaction score
15,677
Inawezekana hii ndo haswa sababu itayofanya hii nchi kuendelea kuwa maskini milele, inawezekana pia ni jambo la kimkakati wa kisiasa kuzidi kuwatawala watu kadri upendavyo.

Kwa sababu kwa lugha ya picha, kama nchi ni maskini na raia wengi ni maskini, na wengi wao hawajakomboka kifikra, inakuwa ni rahisi sana kuwaaminisha hawa watu kwamba mwanasiasa bora ni yule tu anayetusaidia 'vitu' - Chakula, fedha kidogo, nguo, viatu....

Misaada ya vitu kwa maskini, haina historia ya kubadilisha maisha ya masikini wa nchi hii, sana sana hii misaada wanaopewa maskini, naweza kusema ndio imekuwa ikichangia umasikini wa hawa watu. Inawaletea kudumaa kiakili na kuamini hawana haja ya kutafuta mali zao, ingali wanaweza kuomba kwa wengine na kupata.

Ni kwanini hawa viongozi wasitumie resources walizonazo kutengeneza mazingira ya hawa masikini kuweza kutengeneza utajiri?

Je kiongozi mwenye fikra zilizolenga kuwapa masikini samaki badala ya kuwafundisha namna ya kuvua, je ni kiongozi kweli mwenye uwezo wa kuleta maendeleo ya kweli?

Haya maswali ukitafakari uyajibu, utakuja kwenye conclusion kwamba 'VIONGOZI WA TANZANIA WAMEISHIWA MBINU ZA KUONDOA UMASIKINI'

Huwezi kuondoa umaskini kwa kumpa mtu milioni tano, halafu unamuacha akibakia na akili zile zile zilizomfanya yeye akawa maskini (ni sawa sawa uchukue 1,000 uzidishe na 0 utegemee kupata 10,000) never....

MAKAMBA.jpg

maguuuuu.JPG
 
Ili tuendelee (tuondokane na umaskini) tunahitaji vitu vinne mzee;
i. Watu
ii. Ardhi
iii. Siasa safi no;
iv. Uongozi bora

Sasa ukisaidia maskini maana yake unakubaliana na hayo maneno
 
Elimu yenye tija + afya njema
 
Inawezekana hii ndo haswa sababu itayofanya hii nchi kuendelea kuwa maskini milele, inawezekana pia ni jambo la kimkakati wa kisiasa kuzidi kuwatawala watu kadri upendavyo.

Kwa sababu kwa lugha ya picha, kama nchi ni maskini na raia wengi ni maskini, na wengi wao hawajakomboka kifikra, inakuwa ni rahisi sana kuwaaminisha hawa watu kwamba mwanasiasa bora ni yule tu anayetusaidia 'vitu' - Chakula, fedha kidogo, nguo, viatu....

Misaada ya vitu kwa maskini, haina historia ya kubadilisha maisha ya masikini wa nchi hii, sana sana hii misaada wanaopewa maskini, naweza kusema ndio imekuwa ikichangia umasikini wa hawa watu. Inawaletea kudumaa kiakili na kuamini hawana haja ya kutafuta mali zao, ingali wanaweza kuomba kwa wengine na kupata.

Ni kwanini hawa viongozi wasitumie resources walizonazo kutengeneza mazingira ya hawa masikini kuweza kutengeneza utajiri?

Je kiongozi mwenye fikra zilizolenga kuwapa masikini samaki badala ya kuwafundisha namna ya kuvua, je ni kiongozi kweli mwenye uwezo wa kuleta maendeleo ya kweli?

Haya maswali ukitafakari uyajibu, utakuja kwenye conclusion kwamba 'VIONGOZI WA TANZANIA WAMEISHIWA MBINU ZA KUONDOA UMASIKINI'

Huwezi kuondoa umaskini kwa kumpa mtu milioni tano, halafu unamuacha akibakia na akili zile zile zilizomfanya yeye akawa maskini (ni sawa sawa uchukue 1,000 uzidishe na 0 utegemee kupata 10,000) never....

View attachment 1483556

View attachment 1483557
Unapoint, tatizo lako umeileta namna ambayo siyo ya staha na kikejeli zaidi.

Unapowasema watanzania wakati na wewe you are doing the same mistake, what difference do you make?

Hivi hizi picha ulizozitumia hapa kama mfano wa maelezo yako ina oana na unachokieleza?

Yaani huyu kiongozi kweli hajaonyesha kwa vitendo kuinua welfare ya watu wa cadre zote including hao masikini? Kuonyesha huruma na acknowledgement kwa mama kama huyo, siyo kwamba he doesn't see, lakini so far GDP ya nchi haijakua kiasi cha kuwapa welfare hao wa jinsi hiyo wote. Hii ndiyo maana pamoja na kuweka kuhusu hizo bado anawatuliza moyo ili kuwapunguzia angalau psychological torture ya kukuona katika hali hiyo yet is as if we do not care

Unafahamu, hizi provocative advises zinaonyesha level ya maturity ya mhusika. Next time learn to present your case in a descent and gentle form/ways
 
Acha kuchafua wenzako, kama unataka kufanya vyema kachukue na wewe form kisha uturekebishie hayo...Usijipandishe juu kwakukanyaga miguu ya watu
Ni swali hilo kwani nini tatizo.
 
Ni Nyakati za masikini KUUZWA na wajinga KUNUNULIWA.

- Unamnunua Gwajima tu umemaliza na wafuasi wake wote.

#ZubaaUuzwe
 
Unapoint, tatizo lako umeileta namna ambayo siyo ya staha na kikejeli zaidi.

Unapowasema watanzania wakati na wewe you are doing the same mistake, what difference do you make?

Hivi hizi picha ulizozitumia hapa kama mfano wa maelezo yako ina oana na unachokieleza?

Yaani huyu kiongozi kweli hajaonyesha kwa vitendo kuinua welfare ya watu wa cadre zote including hao masikini? Kuonyesha huruma na acknowledgement kwa mama kama huyo, siyo kwamba he doesn't see, lakini so far GDP ya nchi haijakua kiasi cha kuwapa welfare hao wa jinsi hiyo wote. Hii ndiyo maana pamoja na kuweka kuhusu hizo bado anawatuliza moyo ili kuwapunguzia angalau psychological torture ya kukuona katika hali hiyo yet is as if we do not care

Unafahamu, hizi provocative advises zinaonyesha level ya maturity ya mhusika. Next time learn to present your case in a descent and gentle form/ways
Nimekejeli nini hapo mkuu? Mbona kama umepaniki au mada imekugusa zaidi?
 
Labda Hii ni hadi pale zile shule zakata zitakapofanya vizuri kwenye elimu

Kwanini ktk level ya taifa tunafurahia misaada toka nje ya Nchi? Natunapigania kuipata misaada.
 
Siku ujinga na umbumbumbu ukiwaisha,hao WANANCHI ndiyo watajitambua.
 
Inawezekana hii ndo haswa sababu itayofanya hii nchi kuendelea kuwa maskini milele, inawezekana pia ni jambo la kimkakati wa kisiasa kuzidi kuwatawala watu kadri upendavyo.

Kwa sababu kwa lugha ya picha, kama nchi ni maskini na raia wengi ni maskini, na wengi wao hawajakomboka kifikra, inakuwa ni rahisi sana kuwaaminisha hawa watu kwamba mwanasiasa bora ni yule tu anayetusaidia 'vitu' - Chakula, fedha kidogo, nguo, viatu....

Misaada ya vitu kwa maskini, haina historia ya kubadilisha maisha ya masikini wa nchi hii, sana sana hii misaada wanaopewa maskini, naweza kusema ndio imekuwa ikichangia umasikini wa hawa watu. Inawaletea kudumaa kiakili na kuamini hawana haja ya kutafuta mali zao, ingali wanaweza kuomba kwa wengine na kupata.

Ni kwanini hawa viongozi wasitumie resources walizonazo kutengeneza mazingira ya hawa masikini kuweza kutengeneza utajiri?

Je kiongozi mwenye fikra zilizolenga kuwapa masikini samaki badala ya kuwafundisha namna ya kuvua, je ni kiongozi kweli mwenye uwezo wa kuleta maendeleo ya kweli?

Haya maswali ukitafakari uyajibu, utakuja kwenye conclusion kwamba 'VIONGOZI WA TANZANIA WAMEISHIWA MBINU ZA KUONDOA UMASIKINI'

Huwezi kuondoa umaskini kwa kumpa mtu milioni tano, halafu unamuacha akibakia na akili zile zile zilizomfanya yeye akawa maskini (ni sawa sawa uchukue 1,000 uzidishe na 0 utegemee kupata 10,000) never....

View attachment 1483556

View attachment 1483557
Wananchi wanaaminishwa kuwa ni fedha za magu ilhali zinachotwa Hazina. Madikteta hupenda sana kujionesha kuwa wanawajali watu na hupenda sifa kupindukia.
 
Back
Top Bottom