Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Ni ngumu sana kumsikiliza samia kwa dakika 20-30 bila kutoa boko kwenye hotuba zake,
Ni ngumu kumsikiliza bila kuchukia,
Na ni ngumu sana amalize kuhutubia bila kuja kutetewa au maneno yake kutolewa ufafanuzi na watu wengine.
Kiukweli watanganyika tumeula wa chuya awamu hii.
Muda mwingine unajiuliza huyu mtu mbona jeuri sana, ameshiba madaraka?Mpaka siku mkianza kumsikiliza kumuelewa bila kuhoji hoji🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
😂😂😂😂😂😂😂Ni ngumu hata kumsikiliza kwa dk 1 mtu ambaye hana akili. Unasikiliza ili u pollute akili yako.
Dunia nzima inatucheka.Mzaha mzaha wa CCM hatimae tumekuja kupata kiongozi wa hovyo ever since Uhuru
Mtu kama wewe na kwa hoja zako unazoleta unafaa uulizwe who are you?Muda mwingine unajiuliza huyu mtu mbona jeuri sana, ameshiba madaraka?
Reasoning capacity yake inatatiza.
Hachagui neno la kuzungumza bila kuangalia athari yake.
Kuna video nyingi mitandaoni zinatembea muda mwingine huwa nadhani ni AI wanaharakati pengine wameingiza maneno lakini kuja kufatilia unakuta kweli ni yeye mwenyewe ndiye aliyesema.Mtu kama wewe na kwa hoja zako unazoleta unafaa uulizwe who are you?
Ni ngumu mjinga kuficha ujinga wakeMuda mwingine unajiuliza huyu mtu mbona jeuri sana, ameshiba madaraka?
Reasoning capacity yake inatatiza.
Hachagui neno la kuzungumza bila kuangalia athari yake.
Bado utajionea mengi 2030 sio leo wala kesho kua mvumilivu ule mbivuKuna video nyingi mitandaoni zinatembea muda mwingine huwa nadhani ni AI wanaharakati pengine wameingiza maneno lakini kuja kufatilia unakuta kweli ni yeye mwenyewe ndiye aliyesema.
Mtu anashidwa kusema kunadi ilani, anasema kulani inadiKuna video nyingi mitandaoni zinatembea muda mwingine huwa nadhani ni AI wanaharakati pengine wameingiza maneno lakini kuja kufatilia unakuta kweli ni yeye mwenyewe ndiye aliyesema.
Ni ngumu sana kumsikiliza samia kwa dakika 20-30 bila kutoa boko kwenye hotuba zake,
Ni ngumu kumsikiliza bila kuchukia,
Na ni ngumu sana amalize kuhutubia bila kuja kutetewa au maneno yake kutolewa ufafanuzi na watu wengine.
Kiukweli watanganyika tumeula wa chuya awamu hii.
Kabisa yani.Ni ngumu mjinga kuficha ujinga wake
Hajui hata bei ya mafuta .Mtu anashidwa kusema kunadi ilani, anasema kulani inadi
Ona kama hii.
PyschoNa ni ngumu sana amalize kuhutubia bila kuja kutetewa au maneno yake kutolewa ufafanuzi na watu wengine.