Msigwa hili nalo nadhani alitolea fafanuziOna kama hii.
😂😂😂😂😂😂😂Nimeamua kuacha kusikiliza hotuba zake ili kulinda afya yangu ya akili.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ķujenga uzio ndani ya ziwa, kisha kuwaweka mamba pembeni na kutoa maeneo ambayo kina mama watafanya shughuli zao 😁😁
Mengine mnasingizia, alisema lini hii. Haaaa haaaa😂😂😂Ķujenga uzio ndani ya ziwa, kisha kuwaweka mamba pembeni na kutoa maeneo ambayo kina mama watafanya shughuli zao 😁😁
Yaani hili lishangazi tumepigwa 😂😂Ķujenga uzio ndani ya ziwa, kisha kuwaweka mamba pembeni na kutoa maeneo ambayo kina mama watafanya shughuli zao 😁😁
Msigwa nae ni empty set kama shoga yakeMsigwa hili nalo nadhani alitolea fafanuzi
Mwanza hio kwenye kampeniMengine mnasingizia, alisema lini hii. Haaaa haaaa😂😂😂
Mimi hata ile sauti inanitraumatize sio siri!Nimeamua kuacha kusikiliza hotuba zake ili kulinda afya yangu ya akili.
Wewe ulivyomsikiliza ulielewa nini aliposema bei ya mafuta ni dollar 400 kwa lita1, ukiwa USA?Mpaka siku mkianza kumsikiliza kumuelewa bila kuhoji hoji🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Umesoma comment yangu juu juuWewe ulivyomsikiliza ulielewa nini aliposema bei ya mafuta ni dollar 400 kwa lita1, ukiwa USA?
Na kwanini unataka tusihoji issue kama hii?