Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
- Thread starter
- #41
556 ni nusu ya laki moja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kasema nusu ya wajawazito Tanzania wanakufa wakijifungua
556 ni nusu ya laki moja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kasema nusu ya wajawazito Tanzania wanakufa wakijifungua
Yani ni kituko.Naona aibu
Sawa,Umesoma comment yangu juu juu
Bahati mbaya na kwa hivi karibuni sijawahi kumsikiliza hata kwa sekunde 30 mala ya mwisho kumsikiliza vizuri aliwaita wanaoitwa wazee wa dar es salaam kuanzia hapo nikatosheka na kumsikiliza 🙏🙏🙏
Me too manNimeamua kuacha kusikiliza hotuba zake ili kulinda afya yangu ya akili.
Mkuu hatujaelewana maana yanguSawa,
Lakini kusema nimesoma coment yako juu juu ni njia ya kujitetea tu.
Hivi unajua maana ya kusikiliza kwa kuelewa kweli?
Au unajua maana ya kuto kuhoji hoji?
Anyway,
Yetu macho.
Alisema yeye mambo yake ni ya macroeconomics na microeconomics hayo ya ujenzi hana upeo nayo 😁
Wewe kumbe n mgeniMengine mnasingizia, alisema lini hii. Haaaa haaaa😂😂😂
Pamoja na join 2011.Mengine mnasingizia, alisema lini hii. Haaaa haaaa😂😂😂
Mpaka tukifanikiwa kuwa na rais mwingine anayeelewa mambo kiundani.Ni ngumu sana kumsikiliza Samia kwa dakika 20-30 bila kutoa boko kwenye hotuba zake
Ni ngumu kumsikiliza bila kuchukia
Na ni ngumu sana amalize kuhutubia bila kuja kutetewa au maneno yake kutolewa ufafanuzi na watu wengine.
Kiukweli Watanganyika tumeula wa chuya awamu hii.
View attachment 3568982hapa harafu kuwe na bia kreti moja pembeni
Ni ngumu sana kumsikiliza Samia kwa dakika 20-30 bila kutoa boko kwenye hotuba zake
Ni ngumu kumsikiliza bila kuchukia
Na ni ngumu sana amalize kuhutubia bila kuja kutetewa au maneno yake kutolewa ufafanuzi na watu wengine.
Kiukweli Watanganyika tumeula wa chuya awamu hii.
Mpaka siku mkianza kumsikiliza kumuelewa bila kuhoji hoji🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Mzaha mzaha wa CCM hatimae tumekuja kupata kiongozi wa hovyo ever since Uhuru
Muda mwingine unajiuliza huyu mtu mbona jeuri sana, ameshiba madaraka?
Reasoning capacity yake inatatiza.
Hachagui neno la kuzungumza bila kuangalia athari yake.
Dunia nzima inatucheka.
Mtu kama wewe na kwa hoja zako unazoleta unafaa uulizwe who are you?
Ni ngumu mjinga kuficha ujinga wake
Bado utajionea mengi 2030 sio leo wala kesho kua mvumilivu ule mbivu
Mtu anashidwa kusema kunadi ilani, anasema kulani inadi
Kunguru hafugiki. Mwenye low IQ ni ngumu kuigiza kama anazo, ataboronga tu.
Pyscho
-A person who acts in a bizarre or dangerous manner.
Ķujenga uzio ndani ya ziwa, kisha kuwaweka mamba pembeni na kutoa maeneo ambayo kina mama watafanya shughuli zao 😁😁
Nimeamua kuacha kusikiliza hotuba zake ili kulinda afya yangu ya akili.
Msigwa hili nalo nadhani alitolea fafanuzi
Kasema nusu ya wajawazito Tanzania wanakufa wakijifungua
Tuliipokuwa shule ya msinginmiaka 1990-1996 kuna kitabu cha darasa la pili cha kiswahil kuna mada inasema SUMBI NI MVIVU sasa yule SUMBI n SSH
Akili ndogo kuongoza akili kubwa lazma siku zote kutokee mijadala maana Kila unalofanya hatuon mantik
ELIMU MBALIMBALI KUONGOZA NCHI N AIBU SANA
Yaani hili lishangazi tumepigwa 😂😂
Msigwa nae ni empty set kama shoga yake
Wewe ulivyomsikiliza ulielewa nini aliposema bei ya mafuta ni dollar 400 kwa lita1, ukiwa USA?
Na kwanini unataka tusihoji issue kama hii?
556 ni nusu ya laki moja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Anayemfanyia Hangaya damage control naye anahitaji damage control.
Mna hoja msikilizwe.Na bado kifuatacho ni kuvaa kufuli kichwani badala ya lemba lile , Jitu zero brain kinataka kuongoza vichwa how
😂😂😂😂😂😂😂😂Na bado kifuatacho ni kuvaa kufuli kichwani badala ya lemba lile , Jitu zero brain kinataka kuongoza vichwa how
Zero brain.🤣🤣🤣🤣🤣🤣Alisema yeye mambo yake ni ya macroeconomics na microeconomics hayo ya ujenzi hana upeo nayo 😁
Alisema hii mwaka jana.Mengine mnasingizia, alisema lini hii. Haaaa haaaa😂😂😂
Hamna mtu hapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣