Hivi matamko ya Samia yatatolewa ufafanuzi mpaka lini?

Umesoma comment yangu juu juu
Bahati mbaya na kwa hivi karibuni sijawahi kumsikiliza hata kwa sekunde 30 mala ya mwisho kumsikiliza vizuri aliwaita wanaoitwa wazee wa dar es salaam kuanzia hapo nikatosheka na kumsikiliza πŸ™πŸ™πŸ™
Sawa,
Lakini kusema nimesoma coment yako juu juu ni njia ya kujitetea tu.

Hivi unajua maana ya kusikiliza kwa kuelewa kweli?
Au unajua maana ya kuto kuhoji hoji?

Anyway,
Yetu macho.
 
Sawa,
Lakini kusema nimesoma coment yako juu juu ni njia ya kujitetea tu.

Hivi unajua maana ya kusikiliza kwa kuelewa kweli?
Au unajua maana ya kuto kuhoji hoji?

Anyway,
Yetu macho.
Mkuu hatujaelewana maana yangu
Yeye na serikali yake wanataka au wanatamani watu wasio na IQ kubwa

Wanataka msikilize na mtosheke na meneno yake bila kuhoji ukiwa ni mtu wa kuhoji hotba zake unaonekana una zua taharuki so nahisi wanatamani tusikilize tuelewe hivyo hivyo neno lilivyo bila kuhoji wala kuongeza chochote πŸ™
 
Mpaka tukifanikiwa kuwa na rais mwingine anayeelewa mambo kiundani.
 
View attachment 3568982hapa harafu kuwe na bia kreti moja pembeni


Mpaka siku mkianza kumsikiliza kumuelewa bila kuhoji hojiπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ

Mzaha mzaha wa CCM hatimae tumekuja kupata kiongozi wa hovyo ever since Uhuru

Muda mwingine unajiuliza huyu mtu mbona jeuri sana, ameshiba madaraka?

Reasoning capacity yake inatatiza.

Hachagui neno la kuzungumza bila kuangalia athari yake.

Dunia nzima inatucheka.

Mtu kama wewe na kwa hoja zako unazoleta unafaa uulizwe who are you?

Ni ngumu mjinga kuficha ujinga wake

Bado utajionea mengi 2030 sio leo wala kesho kua mvumilivu ule mbivu

Mtu anashidwa kusema kunadi ilani, anasema kulani inadi


Kunguru hafugiki. Mwenye low IQ ni ngumu kuigiza kama anazo, ataboronga tu.

Pyscho

-A person who acts in a bizarre or dangerous manner.

Ģujenga uzio ndani ya ziwa, kisha kuwaweka mamba pembeni na kutoa maeneo ambayo kina mama watafanya shughuli zao 😁😁

Nimeamua kuacha kusikiliza hotuba zake ili kulinda afya yangu ya akili.

Msigwa hili nalo nadhani alitolea fafanuzi

Kasema nusu ya wajawazito Tanzania wanakufa wakijifungua


Yaani hili lishangazi tumepigwa πŸ˜‚πŸ˜‚

Msigwa nae ni empty set kama shoga yake


Wewe ulivyomsikiliza ulielewa nini aliposema bei ya mafuta ni dollar 400 kwa lita1, ukiwa USA?

Na kwanini unataka tusihoji issue kama hii?


556 ni nusu ya laki moja 🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Anayemfanyia Hangaya damage control naye anahitaji damage control.

Na bado kifuatacho ni kuvaa kufuli kichwani badala ya lemba lile , Jitu zero brain kinataka kuongoza vichwa how
Mna hoja msikilizwe.
Nakumbuka kipindi cha Magufuli natoka kanisani nilikuta vichochoroni madukani nyumba za watu bodaboda wote walikuwa wanasikiliza redio wengine Tv kusikiliza hotuba zake sio mara 1 wala 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…