Hivi mazoezi yanalainisha viungo vya mwili? Au ndio basi tena....

Hivi mazoezi yanalainisha viungo vya mwili? Au ndio basi tena....

Kama vip.kunywa grisi au mafuta ya cherehani ili kurojosha izo joints 😎😎😎😎
 
Dokta gelly wewe ya nini?
Ni kilainishi kinatumika kupenyeza CATHETER ie. Kwa ajil ya kusaidia mtu kujisaidia haja ndogo hii ni moja ya matumizii yake..

Ila wengine Sasa hukitumia kulainisha sehemu za Siri ili itwlezw kwa uraisii kwa kifupi sana
 
Mazoezi unaanza taratibu mpaka mwili unazoea .

Mfano waweza anza kukimbia round moja katika uwanja wa mita 100 ukawa unaongeza taratibu kila siku .

Pia Kama upo 35, mazoezi ukianza usiache kwakuwa misuli ya MTU wa miaka 35 inakuwa imeshaanza kusinyaa , itapendeza ukianza mazoezi usiache moja kwa Moja.

Pia kuna aina ya mazoezi Ambayo yapo recommended , Kama kwa watu wa umri 35-55 kama kuruka kamba.,,n.k
Pamoja na kuwa ni mtu wa Mtu wa Majira na Nyakati umeshindwa kumuelewa broh Evelyn Salt alikalia nini
 
Back
Top Bottom