Hivi mazoezi yanalainisha viungo vya mwili? Au ndio basi tena....

Hivi mazoezi yanalainisha viungo vya mwili? Au ndio basi tena....

Akiwa bonge ku ride Hana MAZOEZI lazima ulimi utoke njee kama MBWA 🙌🙌

Kwani uteleziii utakua umeisha ukiwa umeishaaaaa tuna uongeza kwa hiii gelly

View attachment 3458610
Wotee tuseme kazi iendeleeeee
Zinawasha hizi lubricants, afu ukute fake sasa, Lol.

Hii labda kule mikocheni kuna muarabu anauza lubricants na vipodozi ndo anavyo OG.

ila zama hizi kutumia Durex ni ushamba, zipo mpya na kalii mjinii.
 
Wananchi wa malawi hii wiki tukikaa kizembe tutafaint na hizi bandika bandua, haya tupumzike kidogo.

Naandika kwa masikitiko, kwa mnaofanya mazoezi, naombeni mnijibu kwa experience na ushuhuda kabisa ili nijue niruke kichura au niache.

Mi umri hapa ushasogea mwenzenu (marahaba), viungo vya mwili naona vimekaza, juzi juzi hapa si nikajaribu kujirudisha ujanani nikasema aaah acha "niride" nirudi ujanani mie, nikakaliaaa....kwenda juu chini mojaa juu chini mbilii juu chini tatu magoti hoiii ufundi ukaishia hapo nikashuka taratibu kama bendera nikamalizia tu ile style ipo kwenye katiba kifo cha nini sijui.... Baada ya hapo mwili uliuma, yani miguu magoti hoiii.

Sasa nmewaza mpango kazi hapa eti nianze tizi, nikipiga kichura chura moja mpaka mia nitarudi ujanani, nitaride kijeshi hii kitu itawork au niache ujinga???

Watu wazima waione kwenye jalada Binti wa zamani ERoni et al....

Nb: nahitaji zoezi specific za kunifanya niwe good kuride sio kwa afya wala mambo mengine, lengo ni moja tu.
Piga tu zile shughuli za Kizimkazi🫣🫣
 
Baada ya kushindwa kuride ikabidi nimuulize rafiki angu mmoja....hali yake ikoje akanijibu "mi doggy tu imenishinda hadi nimejidharau" 😂😂😂

Nkaona hapa na umri ni tatizo
😂😂😂😂😂
 
Means una mwili mkubwa,kama wa huyo kajala uliyesema umefanana nae.

Fanya yafuatayo:

1. Kunywa juice za ubuyu na ukwaju.
2. Kama huwezi kunywa juice ya mlenda basi hakikisha unakula bamia karibia Kila siku.
3. Uwe unapata kongoro angalau mara tatu kwa week.

Hivi vitatu vitakusaidia kuweka sawa ligaments na tendon(hivi ndiyo adui yako katika muktadha wa Uzi,maana yake vinakusaliti kwenye 'horizontal engineering/kugegedana')

Kisha Anza mazoezi taratibu ya nyonga na magoti(hapa Fanya kugoogle au ingia YouTube utayaona),mojawapo Kuna ambao wameshauri huko juu ambayo ni squash.

Shida ya mazoezi yanahitaji nidhamu kubwa sana hadi mtu apate matokeo,ila kuchange ratiba ya msosi)diet angalau siyo kazi.
 
Baby mimi nimesafiri sasa huyo alikua nani jirani alex au kule nyuma ?
 
Means una mwili mkubwa,kama wa huyo kajala uliyesema umefanana nae.

Fanya yafuatayo:

1. Kunywa juice za ubuyu na ukwaju.
2. Kama huwezi kunywa juice ya mlenda basi hakikisha unakula bamia karibia Kila siku.
3. Uwe unapata kongoro angalau mara tatu kwa week.

Hivi vitatu vitakusaidia kuweka sawa ligaments na tendon(hivi ndiyo adui yako katika muktadha wa Uzi,maana yake vinakusaliti kwenye 'horizontal engineering/kugegedana')

Kisha Anza mazoezi taratibu ya nyonga na magoti(hapa Fanya kugoogle au ingia YouTube utayaona),mojawapo Kuna ambao wameshauri huko juu ambayo ni squash.

Shida ya mazoezi yanahitaji nidhamu kubwa sana hadi mtu apate matokeo,ila kuchange ratiba ya msosi)diet angalau siyo kazi.
Ahsante mkuu, hiyo juice ya mlenda ndio hiyo ya kuweka bamia kwenye maji? Kwa nlipofikia nitakunywa 😁
 
Ahsante mkuu, hiyo juice ya mlenda ndio hiyo ya kuweka bamia kwenye maji? Kwa nlipofikia nitakunywa 😁
Hiyo hiyo ambayo niliona Depal amekushauri huko juu.

Faida nyingine kubwa ya hiyo juice endapo utainywa ni kuongezeka kwa utelezi kwa bibi kiasi kwamba Mzee akigusa tu imoo!!

Lakini pia mlenda unabalanxe hormones.

Nature haiongopi mkuu.
 
Na hiyo juice ya bamia nainywaje? Yani glass ngapi kwa siku au ni kila baada ya muda gani?
 
Back
Top Bottom