Hivi mazoezi yanalainisha viungo vya mwili? Au ndio basi tena....

Hivi mazoezi yanalainisha viungo vya mwili? Au ndio basi tena....

Na hiyo juice ya bamia nainywaje? Yani glass ngapi kwa siku au ni kila baada ya muda gani?
Kuna ambao wanaitumia mara tatu/ siku,Kuna wa mara Moja( jioni) na Kuna wa mara mbili asubuhi na jioni.

Bamia ni chakula,hazina athari,japo too much is harmful. Tumia kwa kiasi.
 
Wananchi wa malawi hii wiki tukikaa kizembe tutafaint na hizi bandika bandua, haya tupumzike kidogo.

Naandika kwa masikitiko, kwa mnaofanya mazoezi, naombeni mnijibu kwa experience na ushuhuda kabisa ili nijue niruke kichura au niache.

Mi umri hapa ushasogea mwenzenu (marahaba), viungo vya mwili naona vimekaza, juzi juzi hapa si nikajaribu kujirudisha ujanani nikasema aaah acha "niride" nirudi ujanani mie, nikakaliaaa....kwenda juu chini mojaa juu chini mbilii juu chini tatu magoti hoiii ufundi ukaishia hapo nikashuka taratibu kama bendera nikamalizia tu ile style ipo kwenye katiba kifo cha nini sijui.... Baada ya hapo mwili uliuma, yani miguu magoti hoiii.

Sasa nmewaza mpango kazi hapa eti nianze tizi, nikipiga kichura chura moja mpaka mia nitarudi ujanani, nitaride kijeshi hii kitu itawork au niache ujinga???

Watu wazima waione kwenye jalada Binti wa zamani ERoni et al....

Nb: nahitaji zoezi specific za kunifanya niwe good kuride sio kwa afya wala mambo mengine, lengo ni moja tu.
Ninatoa zoezi la kutomberner style zote🤣
 
Hizi ndo hata kuziona sitakii, 😂😂😂😂
Kwa nini
IMG-20250831-WA0002.jpg


IMG-20250831-WA0003.jpg
 
Hata miaka 40 bado ila viungo vimeshikana, safari yako ngumu ya mashaka mengi.

Darsaam wenzio wanaenda gym au kujipa mazoezi wenyewe.

Shauri zako.
 
Na hiyo juice ya bamia nainywaje? Yani glass ngapi kwa siku au ni kila baada ya muda gani?
Twice a day for 7 days is enough kwa kuanzia. Kisha unasikilizia feedback.

Ni kama zile dawa za kienyeji sijui chemsha majani gani yapangilie hormones.
Week tu inatosha.. unasikilizia
Afu unakuwa unapiga kwa interval
 
Twice a day for 7 days is enough kwa kuanzia. Kisha unasikilizia feedback.

Ni kama zile dawa za kienyeji sijui chemsha majani gani yapangilie hormones.
Week tu inatosha.. unasikilizia
Afu unakuwa unapiga kwa interval
Ahsante sana bro baada ya wiki mbili nitarudi hapa kuleta feedback
 
Back
Top Bottom