Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Inaitwaje hiyoo... Mimi sikuizi alcohol persistence imekua above level noma sanaaaaaa brother 😁Mimi kuna pombe fulani nimeigundua , nikiinywa nakua kama napaa bwashee
Inaitwaje hiyoo... Mimi sikuizi alcohol persistence imekua above level noma sanaaaaaa brother 😁Mimi kuna pombe fulani nimeigundua , nikiinywa nakua kama napaa bwashee
HahahaInaitwaje hiyoo... Mimi sikuizi alcohol persistence imekua above level noma sanaaaaaa brother 😁
hata mimi pia sijui kidhungu ila kuna jamaa amenipa hilo DESA amesema lazima litaeleweka 🙄Sijui kizungu braza
Baada ya kushindwa kuride ikabidi nimuulize rafiki angu mmoja....hali yake ikoje akanijibu "mi doggy tu imenishinda hadi nimejidharau" 😂😂😂Bora hata wewe unawaza kufanya zoezi. Siwezi tena kuride yaani ni ile kizee haswaa, sio shida zangu😀.
😳😳😳 Mimi nilikua nimeanza windo langu mkuu.Huyo ni bro ujue😆
Wananchi wa malawi hii wiki tukikaa kizembe tutafaint na hizi bandika bandua, haya tupumzike kidogo.
Naandika kwa masikitiko, kwa mnaofanya mazoezi, naombeni mnijibu kwa experience na ushuhuda kabisa ili nijue niruke kichura au niache.
Mi umri hapa ushasogea mwenzenu (marahaba), viungo vya mwili naona vimekaza, juzi juzi hapa si nikajaribu kujirudisha ujanani nikasema aaah acha "niride" nirudi ujanani mie, nikakaliaaa....kwenda juu chini mojaa juu chini mbilii juu chini tatu magoti hoiii ufundi ukaishia hapo nikashuka taratibu kama bendera nikamalizia tu ile style ipo kwenye katiba kifo cha nini sijui.... Baada ya hapo mwili uliuma, yani miguu magoti hoiii.
Sasa nmewaza mpango kazi hapa eti nianze tizi, nikipiga kichura chura moja mpaka mia nitarudi ujanani, nitaride kijeshi hii kitu itawork au niache ujinga???
Watu wazima waione kwenye jalada Binti wa zamani ERoni et al....
Nb: nahitaji zoezi specific za kunifanya niwe good kuride sio kwa afya wala mambo mengine, lengo ni moja tu.
Hata kama nimeoa.... Nakubaliana na wewe...Kataa ndoa ulinde afya yako ya akili
😀😀😀Asee sasa hapo analalamika kukalia Nini?
Shauri lako😳😳😳 Mimi nilikua nimeanza windo langu mkuu.
🙌🙌🙌 Kwaio ni salendeeeee kabisa 😊 😊 😊
Umri tatizo plus uzito. Kama unaweza zoezi pambana aiseeBaada ya kushindwa kuride ikabidi nimuulize rafiki angu mmoja....hali yake ikoje akanijibu "mi doggy tu imenishinda hadi nimejidharau" 😂😂😂
Nkaona hapa na umri ni tatizo
Sawa afande 😁Fetty acha ujinga
Uzito hapo ndo penyewe 🤦🤦Umri tatizo plus uzito. Kama unaweza zoezi pambana aisee
😂😂😂😂😂Mbona unatuangusha mwanakwetu na kuukalia ukuni 🍆 ilivyo tamu sasa 🤤😋 ukichoka we mlalie kifuani aichapie kwa chini, ila usishuke.
Na uanze kufanya squats basi!
😂😂😂😂😂Navuta taswira ya mpandwaji, alikuwa na hali gani alipoona mtu anakata pumzi🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Nahisi mimi ningekufa kwa kicheko na mchezo ungeishia hapo hapo.
Hiyo kushuka taratibu sasa, nimecheka kama fala leo.
Eleza hapa Dr, na sie tupate madini.Njoo nikupe tizi la maana, supu ya kongoro uingize kwenye bajeti yako
😂😂😂😂😂We bibi utakuja ufe ujue 😹😹😹
Sasa traco lote hilo unaride nini na magoti yashakaza hayo..!!
Mtakuja mchanike msamba jamani..!!
😂😂😂😂😂Ukitaka uweze kuride weka nyimbo ya veggies mbele kwa mbele halafu shika kitanda anza kufatisha biti..!!
Anza kwa kwenda mbele na kurudi nyuma, ikifika “Tumejipanga mwaka huu wataisoma” hapo anza speed sasa 😹😹😹