Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Mkuu unamwita kaka tena😳Msikilize jamaa hapo. Ingia you tube search "Tai chi" for beginners. Ni mazoezi rahisi tu ya kunyoosha nyoosha viungo ila yatakufanya unyumbulike haswaa. Kwa umri wako hutakiwi mazoezi magumu usije ukakata moto bure kaka.
Mazoezi ya kipolepole yatafaa Sana.Njoo nikupe tizi la maana, supu ya kongoro uingize kwenye bajeti yako
Kumbe huyo jamaa ni kakaMsikilize jamaa hapo. Ingia you tube search "Tai chi" for beginners. Ni mazoezi rahisi tu ya kunyoosha nyoosha viungo ila yatakufanya unyumbulike haswaa. Kwa umri wako hutakiwi mazoezi magumu usije ukakata moto bure kaka.
uje nikufundishe kuride kwa wepesi ili usichoke na uenjoyWananchi wa malawi hii wiki tukikaa kizembe tutafaint na hizi bandika bandua, haya tupumzike kidogo.
Naandika kwa masikitiko, kwa mnaofanya mazoezi, naombeni mnijibu kwa experience na ushuhuda kabisa ili nijue niruke kichura au niache.
Mi umri hapa ushasogea mwenzenu (marahaba), viungo vya mwili naona vimekaza, juzi juzi hapa si nikajaribu kujirudisha ujanani nikasema aaah acha "niride" nirudi ujanani mie, nikakaliaaa....kwenda juu chini mojaa juu chini mbilii juu chini tatu magoti hoiii ufundi ukaishia hapo nikashuka taratibu kama bendera nikamalizia tu ile style ipo kwenye katiba kifo cha nini sijui.... Baada ya hapo mwili uliuma, yani miguu magoti hoiii.
Sasa nmewaza mpango kazi hapa eti nianze tizi, nikipiga kichura chura moja mpaka mia nitarudi ujanani, nitaride kijeshi hii kitu itawork au niache ujinga???
Watu wazima waione kwenye jalada Binti wa zamani ERoni et al....
Nb: nahitaji zoezi specific za kunifanya niwe good kuride sio kwa afya wala mambo mengine, lengo ni moja tu.
Bila shaka wewe ni kibonge ndio maana unachoka haraka kwenye kukwea mlima kirimanjaroAcha basi bro 😁
Kwani bibi hataki utamuuuuWe bibi utakuja ufe ujue 😹😹😹
Mwili ni 1. Aina za vyakula unavyokula.Wananchi wa malawi hii wiki tukikaa kizembe tutafaint na hizi bandika bandua, haya tupumzike kidogo.
Naandika kwa masikitiko, kwa mnaofanya mazoezi, naombeni mnijibu kwa experience na ushuhuda kabisa ili nijue niruke kichura au niache.
Mi umri hapa ushasogea mwenzenu (marahaba), viungo vya mwili naona vimekaza, juzi juzi hapa si nikajaribu kujirudisha ujanani nikasema aaah acha "niride" nirudi ujanani mie, nikakaliaaa....kwenda juu chini mojaa juu chini mbilii juu chini tatu magoti hoiii ufundi ukaishia hapo nikashuka taratibu kama bendera nikamalizia tu ile style ipo kwenye katiba kifo cha nini sijui.... Baada ya hapo mwili uliuma, yani miguu magoti hoiii.
Sasa nmewaza mpango kazi hapa eti nianze tizi, nikipiga kichura chura moja mpaka mia nitarudi ujanani, nitaride kijeshi hii kitu itawork au niache ujinga???
Watu wazima waione kwenye jalada Binti wa zamani ERoni et al....
Nb: nahitaji zoezi specific za kunifanya niwe good kuride sio kwa afya wala mambo mengine, lengo ni moja tu.
Hiyo hali hutokea endapo ukiwa unaanza mazoezi , itaisha endapo ukiendelea .Nikiruka kamba itapunguza mchoko wa magoti?
Ndiyo, ila proper squats, unyayo wote uwe umegusa chini, fanya hata two variations moja umepanua miguu nyingine umebana 😂😂😂😂😂Squats inasaidia? Nataka kitu chenye msaada 😁
Tatizo mifupa ya goti ishakaza 😹😹Kwani bibi hataki utamuuuu
Punguza kula wali na ugali. Kula protini kwa wingi. Mazoezi Fanya malaini hadi mwili utakapotamani magumu.Nikiruka kamba itapunguza mchoko wa magoti?
Wewe je? Ushuzi woman? 😹😹Evelyn Salt wewe tu humu nafurahigi ukicomment au ukianda post kwa wanawake wewe ni super woman