Hivi mazoezi yanalainisha viungo vya mwili? Au ndio basi tena....

Hivi mazoezi yanalainisha viungo vya mwili? Au ndio basi tena....

Kajala huoni ana MWILI JUMBA Mimi nikajua labda kama MWILI WA FLAVIN MATATA, MIRIAM ODEMBA

Hapo kwa kajala jimu linakuhusuu
Aaah huko kwa flavi sipo huyo ni mwembamba, huyu ni kibonge??

images (28).jpeg
 
Kabla ya mazoezi Anza na Elimination Diet.
Obvious una chronic inflammation na ndio uko kukaza viungo, hii ni matokeo ya miaka kibao ya Wali, ugali, Chapi,viazi.
Fight inflammation kwanza ndo mazoezi yafuate Bila hivyo utapata injury mbaya sana hata kifo Cha mende itakushinda.
 
Bro nimelia.....
 
Kwani kuna ambacho umebakiza tena mleta mada kwenye issue hizi , di uachane nazo tu ! Kwanza huwa haziwafikishi mwisho wa mlima! Tuachie tu sisi tunajua how kuwafikisha juu.
Mi siwezi kuacha, yani hata siku nikitoka kuchukua mafao nmb ntachukua room na mzee mwenzangu tukaburudike....usinishauri kuacha sitakusikiliza bro
 
Fanya zoezi miguu izoee shuruba
Afu ukishaona rukaruka inaumiza miguu kwanini usiikalie kwa kuweka magoti chini kabisa then u fuk him like you are a man...au ni bonge? Kama ni bonge usiangaike naye huyo...🚮
Heeee ushauri wako sifati sikusikilizi 😂😂😂 huo wa kutohangaika nae.

Ukiachana na kuweka magoti chini, yawe juu sasa kama kuruka kichura 😛
 
Wananchi wa malawi hii wiki tukikaa kizembe tutafaint na hizi bandika bandua, haya tupumzike kidogo.

Naandika kwa masikitiko, kwa mnaofanya mazoezi, naombeni mnijibu kwa experience na ushuhuda kabisa ili nijue niruke kichura au niache.

Mi umri hapa ushasogea mwenzenu (marahaba), viungo vya mwili naona vimekaza, juzi juzi hapa si nikajaribu kujirudisha ujanani nikasema aaah acha "niride" nirudi ujanani mie, nikakaliaaa....kwenda juu chini mojaa juu chini mbilii juu chini tatu magoti hoiii ufundi ukaishia hapo nikashuka taratibu kama bendera nikamalizia tu ile style ipo kwenye katiba kifo cha nini sijui.... Baada ya hapo mwili uliuma, yani miguu magoti hoiii.

Sasa nmewaza mpango kazi hapa eti nianze tizi, nikipiga kichura chura moja mpaka mia nitarudi ujanani, nitaride kijeshi hii kitu itawork au niache ujinga???

Watu wazima waione kwenye jalada Binti wa zamani ERoni et al....

Nb: nahitaji zoezi specific za kunifanya niwe good kuride sio kwa afya wala mambo mengine, lengo ni moja tu.
Tafuta kijana mmoja. Wewe akikisha tu unampa hela na kummalizia matatizo yote ya kifedha. Hata ukilala tu kama gogo kijana atamaliza kila kitu
 
Basi kwa umri huo kula supu ya nyama, mayai, mboga za majani mchemsho! Acha ugari, Wali, mikaango yote, tambi, machapati, Maandazi kwakifup mangano acha japo kwa mwezi mmoja tuuuuuu utapata matokeo!
Kunitenganisha na wali na chapati daaaah 🤦🤦🤦 nitafanya jaribio la kuacha nione
 
Basi kwa umri huo kula supu ya nyama, mayai, mboga za majani mchemsho! Acha ugari, Wali, mikaango yote, tambi, machapati, Maandazi kwakifup mangano acha japo kwa mwezi mmoja tuuuuuu utapata matokeo!
Kweli tupu.
Ila aondoe na hizo mboga za majani kabisa coz binadamu hatuna matumbo manne kama Ngombe ku ferment plants, neutralize toxins ktk mimea, convert plants to quality proteins.
 
Back
Top Bottom