Hivi mbona watoto wa siku hizi hawachezi michezo tuliyocheza zamani kama kombolela?

Kula mbakishie baba........ huu mchezo kama ulikua na afya mbovu ilibidi ukae pembeni tu........watu walikua wanakula ngumi hadi mtu anacheua damu halafu hio ngumi kakutandika mtoto mwenzio
 
Michezo yote ukifika huku Uswahilini kwa Dovya utaikuta. Tena kuna minginebl Mimi utotoni sijaicheza
 
Hakuna neno la Kombolera katika Lugha ya Kiswahili bali kuna neno sahihi na sanifu kabisa la Kombolela. Pumbavu.
Pumbavu ni wewe mporipori mwenye mawazo finyu kufikiri komboreraaaaa ni uswahili na ushamba,kwa lugha nyingine inaitwa hide and sick na ipo mpaka Paris,New York,Moscow huko nako ni uswahilini you TWAT.
 
Naendelea Kusisitiza ni Kombolela na siyo Kombolera. Swine.
 
mtoto yuko boarding school tangu darasa la kwanza unategemea nn??akirudi nyumbani hutaki akacheze na wenzake njee unadai wale maskini ndo hivi sasa mwana kulitafuta mwana kulipata
 
siku hizi tunawalipia vifurushi vya 124000 dstv anaangalia kila kitu ndani..kunya ndani...kuapata mke ndani...ndo maana wanaanza ushoga bado mapema..hawajui mchezo huu wa kina dada au kina kaka..tuendelee tulipoishia
 
Naendelea Kusisitiza ni Kombolela na siyo Kombolera. Swine.
hata ww Kiswahili hujui ebu tamka khamisi au hamisi..muda mwingne ni sehemu mtu anatoka kwenye r anaweka l..point ni ipi elewa..ukiona ukovizuri Kiswahili tukukute bakita pale makumbusho wamehamia pale..swine
 
Pumbavu.
 
Sasa ulikuwa unachelewa nini Kukubali tu kuwa ulikuwa umekosea kusema Kombolera badala ya Kombolela hadi umesubiri nimekutia Adabu hivi?
Naomba unifafanulie kwanini kombolela ni mchezo wa uswahilini wakati unachezwa mpaka huko uzunguni New york,Toronto mpaka London na kwa lugha nyingine unaitwa hide and seek.
 
mazingira pia yanachangia,, Mtoto aache kucheza Playstation akacheze komborela ni ngumu sana, Aache GTA VICE CITY acheze ukutiukuti,, Watoto wengi wa saiz watakuja kuwa wanamapinduzi sana kwenye nyanja za kitechnolojia sababu wAnaanza kuizoea tangu wadogo,.
 
Naomba unifafanulie kwanini kombolela ni mchezo wa uswahilini wakati unachezwa mpaka huko uzunguni New york,Toronto mpaka London na kwa lugha nyingine unaitwa hide and seek.

Kukuambia Uswahilini kamwe sikumaanisha kuwa ninaudharau ila nimemaanisha kuwa unachezwa hasa na Waswahili ila Kwingineko hawauchezi.
 
Kukuambia Uswahilini kamwe sikumaanisha kuwa ninaudharau ila nimemaanisha kuwa unachezwa hasa na Waswahili ila Kwingineko hawauchezi.
Kuna kitu nataka kujifunza.Je Ulikuwa una maana gani kusema mchezo wa uswahilini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…