unafikiri waliendelea tena na practice izo.Ni kweli mambo yanabadilika lakini kuna baadhi ya michezo enzi hizo ilikuwa inawasaidia watoto hasa kwenye ubunifu na kutumia akili.
Nakumbuka tulikuwa tukiunda magari kwa kutumia vipande vya mbao na kandambili kama matairi bila kusahau tunaweka mpaka steering wheel kwa kutumia kamba fulani hivi, halafu tunatumia makoa kama springs, huu ulikuwa ubunifu wa hali ya juu.
Kama usemavyo zama zimebadilika, lakini nadhani kwa zama hizi na hawa watoto wetu suala la ubunifu litakuwepo kwa kiwango kidogo sana.
Kutokana na mazingira yalivyo sasa hizo practice haziwezi endelea.unafikiri waliendelea tena na practice izo.
Kuna kitu nataka kujifunza.Je Ulikuwa una maana gani kusema mchezo wa uswahilini?
Watu wa maisha ya hali ya chini Tanzania,wenye majungu,fitna husda na uchawi.Kabla sijakujibu naomba Kwanza kujua kutoka Kwako Wewe neno Uswahilini umelielewaje labda?
pumbavu mie au wwPumbavu.
kwahiyo kina mo wao uchawi hawana au imekaaje hiyooo..kama fitna mbna jana simba wameweka fitina na wameshinda mechiWatu wa maisha ya hali ya chini Tanzania,wenye majungu,fitna husda na uchawi.
namna mnavoulizana maswali tusijekuta kumbe mnajuana mtu na shemeji yake shenzi kabisaKuna kitu nataka kujifunza.Je Ulikuwa una maana gani kusema mchezo wa uswahilini?
Ndo michezo ya kiume hyMbona mabeki 3 nao wanawachezesha watoto michezo ya ajabu pia