Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Wapi shule ganiBado ipo
Hongera yao ila huku Dar changamotoRuhafwe primary school.
Tanganyika district
Viwanja vynenyewe vidogo huo mchaka mchaka mtakimbilia wapiHongera yao ila huku Dar changamoto
Hili ni tatizo ndo maana tuko na vijana legevu.Shule nyingi hamna… ila zile za Jeshi bado kuna kukimbia Smart area.
Ukihisi mtoto wako legevu pekeka shule za jeshi.Hili ni tatizo ndo maana tuko na vijana legevu.
Ugumu wa Maisha tulionao 24/7 ni Mchakamchaka tosha kwa Watoto na Sisi Wazazi / Walezi wao.Tuna watoto mandazi sana siku hizi, hata Michezo imepungua ya kumjenga mtoto kiakili kwanini mambo machafu yasipate nafasi.
kuna maana kubwa ya kuwepo michezo tofauti tofauti katika maisha yetu.
Mmh na kipindi cha nyuma ilikuwaje?Viwanja vynenyewe vidogo huo mchaka mchaka mtakimbilia wapi
Shule za jeshi si mpaka mzazi awe mwanajeshi au ikoje hiiUkihisi mtoto wako legevu pekeka shule za jeshi.
NoShule za jeshi si mpaka mzazi awe mwanajeshi au ikoje hii
Bongo yetu hii haya nitajaribuNo
Yoyote tu… labda shule iwe imejaa ukose nafasi.
Watu walikuwa wachache,Dar ardhi ni finyu,Mmh na kipindi cha nyuma ilikuwaje?
Kwa adv ni rahisi, mwezi wa 2 tu kafate ni chap unapata. O level (F1 dec tu chukua) kuhamia sina uzoefu.Bongo yetu hii haya nitajaribu
Michezo ni muhimu lakini hata kama sio mchakamchakaWatu walikuwa wachache,Dar ardhi ni finyu,
Watu Kwa sasa wanavamia maeneo ya taasisi kama shule na kupora maeneo