Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
- Thread starter
- #21
Asante. nimepata kumcheki bro kanielekeza (Makongo juu na lugaro wanasoma full gwarideKwa adv ni rahisi, mwezi wa 2 tu kafate ni chap unapata. O level (F1 dec tu chukua) kuhamia sina uzoefu.
Shida ya mtz unakuta anaogopa kitu ambacho hajawahi hata jaribu kufanya ila anahisi ni hakiwezekani