Hivi Mchakamchaka bado upo shuleni au ndio basi tena?

Hivi Mchakamchaka bado upo shuleni au ndio basi tena?

Michezo ni muhimu lakini hata kama sio mchakamchaka
Shuleni tulikuwa na bendi pia
Asubuhi watu wanaliamsha kwenye paredi
Forodhani primary(St joseph)
Nlikuwaga kitengo cha kupiga drum lile.....basi wakati wa paredi nlikuwa nalikolezaaaa ngoma ile
Acha bana zamani kuna vitu vilikuwa vinavutia

Ova
 
2016-2018 kwa wiki ilitakiwa kukimbia mara 3. Binafsi nilikimbia mara 5 tu kwa miaka miwili, usingizi wangu ulikuwa ni wathamani mno. Sijawahi kuuelewa huu utaratibu kwakweli.
Unajengeka kimwili hiyo
Safi sana

Ova
 
Watoto wa matajiri au kipato cha English medium hawezi kufua nguo, kuosha vyombo, kufagia wala kushika jembe. Hata kunya kwao utaskia "mama puu haitoki". Sembuse kukimbia. Wamenenepeana kama nguruwe.
Watoto wa siku hizi naona
Wakishuwa zamani mkiwa
Shule mnakaza nao

Ova
 
Back
Top Bottom