Shuleni tulikuwa na bendi pia
Asubuhi watu wanaliamsha kwenye paredi
Forodhani primary(St joseph)
Nlikuwaga kitengo cha kupiga drum lile.....basi wakati wa paredi nlikuwa nalikolezaaaa ngoma ile
Acha bana zamani kuna vitu vilikuwa vinavutia
2016-2018 kwa wiki ilitakiwa kukimbia mara 3. Binafsi nilikimbia mara 5 tu kwa miaka miwili, usingizi wangu ulikuwa ni wathamani mno. Sijawahi kuuelewa huu utaratibu kwakweli.
Watoto wa matajiri au kipato cha English medium hawezi kufua nguo, kuosha vyombo, kufagia wala kushika jembe. Hata kunya kwao utaskia "mama puu haitoki". Sembuse kukimbia. Wamenenepeana kama nguruwe.