Hivi mchina ambaye ni mkongwe au HR wake anaweza kusema hawa ni wamasai wa ulinzi

Hivi mchina ambaye ni mkongwe au HR wake anaweza kusema hawa ni wamasai wa ulinzi

Mods Kwann mnafuta comments wakati uzi ulishaanza kuchangamka, mods Mna upuuzi mno
 
Tafakarini wenyewe kwa umakini na usije shangaa wachina wa marehemu waka wakataa kuwa sio hawaView attachment 3607384
Nimemsikiliza muhasibu wa kiwanda cha mchina ,amesema waliokamatwa ndiyo wenyewe ila majina waliyokuwa wanatumia ni tofauti na hayo waliyoyataja polisi na nguo waliozoea kuvaa siyo hizo ,walikuwa wanavaa mashuka ya kimaasai na mwingine alikuwa na rasta amezinyoa.
 
Wale wamasai wanasema kuwa wamemuua mchina walikuwa na mahusiano gani na marehemu.au walimvamia?
Nani aliyesema kuwa waliomuua mchina ni wamasai
 
Tafakarini wenyewe kwa umakini na usije shangaa wachina wa marehemu waka wakataa kuwa sio hawaView attachment 3607384
Kwa akili yako ulitaka wawe na karubega,sime ,fimbo na rungu na wawe wametobolewa masikio???
Kwani wewe unawafahamu wamasai wa wapi mpaka ukatae kuwa hao sio wa masai.

Usiishi kwa kukariri mazingira ya mtu. Kuishi kwa Mazoea
 
Nani aliyeona tukio na kusema walikuwa wamasai.huyo ndo anatuchanganya
Ikiwa hakuna anayejua je unaonaje tukakaa kimya sote kuliko kusema hao sio watuhumiwa sahihi ikiwa hatujui na hatukuwepo ktk tukio na hata sisi hatufanyi kazi ya upepelezi wala hatupo kiwandani kwa mchina.
 
Hawajui kua mtu anapokua anatafutwa hua anajaribu kujibadilisha muonekano ili asikamatwe,
Wao walitaka wakamatwe wakiwa vile vile walivyokua wakati wakifanya lile tukio!
Wakiwa wamevaa na mashuka yao nadhani inge make sense kwao.

Pia tuseme sio wenyewe kweli je wenyewe wahusika wapo wapi ?

Ubishi kama huu sio mzuri ni Bora kuacha mamlaka zenyewe zifanye kazi yake .
 
Ikiwa hakuna anayejua je unaonaje tukakaa kimya sote kuliko kusema hao sio watuhumiwa sahihi ikiwa hatujui na hatukuwepo ktk tukio na hata sisi hatufanyi kazi ya upepelezi wala hatupo kiwandani kwa mchina.
we una mtoto au marehemu manunu wa wema sepetu
 
Back
Top Bottom