Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,286
- 13,459
Yaani jamii nyingi za wafugaji, wamasai,mang'ati, wasukuma. Hawawi na jina moja. Wanakuwa na majina tofauti tofauti kwa kadri anavyohama mazingira. Leo hii ukimkuta masai somanjiro anaitwa Relaito na siku ukimkuta morogoro utakuta anaitwa Mambai au atajiita jina la kiswahili Mselemu. Ukija kumkuta mskuma mbalali Anaitwa lusangija siku ukimkuta lindi utakuta anajia Ng'wanashijaNimemsikiliza muhasibu wa kiwanda cha mchina ,amesema waliokamatwa ndiyo wenyewe ila majina waliyokuwa wanatumia ni tofauti na hayo waliyoyataja polisi na nguo waliozoea kuvaa siyo hizo ,walikuwa wanavaa mashuka ya kimaasai na mwingine alikuwa na rasta amezinyoa.