Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

Moja ya vigezo vya kusomea profession niliyo nayo ni lazima usome fizikia.

Kwa kifupi ilinisaidia kusomea profession ya ndoto yangu au wewe ulitakaje bwashee
Umefikia wapi zaidi ya kukariri , wenzio wanapata tenda duniani wewe unapewa makapi hayo 😀 😀 😀 .

Soma kule japan , china ukaone uhalisia sio takataka hizo
 
Mie nakupa hints tu.
Kafuatilie kitu chaitwa API uone nani the leading producer.
Pia kamfuatilie mwanamama anayeitwa SAMANTHA DU.
Ni Mchina ambaye ni kiongozi wa research wa masuala ya pharmaceutical industry USA.
Kumbuka ni Mchina.
Nenda kamsome,USA ilifanya mageuzi makubwa ya pharma kwa ujuzi na uweledi wa huyu mwanamama.
Halafu bado unam underestimate Mchina,aiseee!
😂🤣😆 unakimbia hoja na maswali niliyokuuliza unakuja na vipoint vyako vingine tena vya kuokoteza
Kwa heri
 
😂🤣😆 unakimbia hoja na maswali niliyokuuliza unakuja na vipoint vyako vingine tena vya kuokoteza
Kwa heri
Umeona umepingwa hoja zako unakimbia kijana!?
Hoja za dawa kuleta madhara na maziwa kuua watoto zimekanushwa ndio unakimbia!?
I proved you wrong na wewe fanya vivyo hivyo.
Sijakimbia hoja,umeleta hoja nimezichambua pia nimekupa hint ukasome wewe hautaki,sasa unataka nini!?
Mbona wewe ulinambia niende google nikasome kuhusu"China milk scandal"?Si nimeenda na nikaja na majibu!?
Kwanini na wewe usifanye kama mimi ukasome kuhusu Samantha Du na API?
Hautaki kujifunza pia unaonekana haupendi kusoma ndio maana ukaleta taarifa zisizo sahihi.
Angelikua anaependa kusoma angeeda kutafuta maana ya API na kumsoma huyo mama.
 
Unachanganya inventions na matumizi ya principles of physics kwenye uundaji vitu.
Physics ina principles zinazosaidia kwenye uvumbuzi eidha iwe invention au innovations,ila physics yenyewe sio uvumbuzi mkuu.
Alogundua Cathod ray oscilloscope ya hospitalini alichekecha kichwa kuhusu vipi tutapata signal ya kujua moyo wa mgonjwa unafanyaje kazi kwa kutizama electro cardiogram yake.
Ndio akarudi katika hizo principle kuunda hiyo oscilloscope.
Physics are matter of principles mkuu.
Sasa mbona unakuja halafu unakataa? Newton alileta kanuni zake miaka mingi iliyopita lakini mpaka leo urushwaji wa rockets msingi wake ni Newton's third law
Huwezi kuiita eti fizikia ni takataka kisa umesoma elementary physics tu. Leo unaejoy umeme unadhani aliyeugundua hakuwa na uelewa wowote wa uwepo wa charged particles? Na kwamba zikimove in a material zinabring current?
 
Sasa mbona unakuja halafu unakataa? Newton alileta kanuni zake miaka mingi iliyopita lakini mpaka leo urushwaji wa rockets msingi wake ni Newton's third law
Huwezi kuiita eti fizikia ni takataka kisa umesoma elementary physics tu. Leo unaejoy umeme unadhani aliyeugundua hakuwa na uelewa wowote wa uwepo wa charged particles? Na kwamba zikimove in a material zinabring current?
Mkuu nakuja na kukataa au wewe NI MGUMU KUELEWA!?
Embu jaribu kunisoma tena utanielewa.
Sikusema kama physics takataka bali nimesema Physics sio uvumbuzi bali ni principles inayosaidia uvumbuzi.
Hata huo mfano wa cathod ray hujauelewa mkuu!?
Embu soma kwa uelewa nakusihi.
 
Kuna invention na innovation mkuu

Unaweza kufanya invention ukaja kuzidiwa na atakayekuja kufanya innovation

Vitu vingi vimefanyiwa invention Ulaya lakini mbona credit iende kwa USA ambaye amefanya innovation kama China
Na china anachokifanya ni innovation, haupotezi muda na rasilimali nyingi, ila tija yake ni ya uhakika. Hata walichokifanya Space X na Tesla ni pure innovation tu.
 
Umefikia wapi zaidi ya kukariri , wenzio wanapata tenda duniani wewe unapewa makapi hayo 😀 😀 😀 .

Soma kule japan , china ukaone uhalisia sio takataka hizo
Watu wa aina yako ndo wanafanya nchi hii ionekane IQ zetu ni ndogo!?
Kwa hiyo madaktari wanaokutibu unapokuwaga hoi hata simu huwezi shika wote wamesoma nje?
Mi nafanya kazi na hao wamesoma huko China, Japan n.k. ila sijawahi ona utofauti wao
Acha colonial mindset mzee
 
Watu wa aina yako ndo wanafanya nchi hii ionekane IQ zetu ni ndogo!?
Kwa hiyo madaktari wanaokutibu unapokuwaga hoi hata simu huwezi shika wote wamesoma nje?
Mi nafanya kazi na hao wamesoma huko China, Japan n.k. ila sijawahi ona utofauti wao
Acha colonial mindset mzee
Madaktari bingwa nenda Asia huko India ndio maarufu sio elimu yako ya kukariri , tangu muanze kusoma nje miaka ya nyuma mpaka leo hamna matokeo kazi uwizi na forging , miradi mnaharaibu.

Wewe IQ ndogo hata usome wapi hamna maajabu utafanya labda uajiriwe mpaka kufa.
 
Shida yenu waswahili mnachukua desa pasi na kulisoma huwa linamaanisha nini.
Hii makala inaeleza kuwa MATUMIZI YA DAWA YASIYO SAHIHI IKIWEMO ZA KICHINA HULETA MATATIZO YA FIGO.
NA WALA HAIKUSEMA "DAWA ZA KICHINA HULETA MATATIZO YA FIGO"
Hii inamaana sio tu dawa za kichina bali dawa zozote zile ukiwa hautumii kiusahihi huleta hiyo shida.
Hata hiyo diclofenac ni dawa sahihi ila usipoitumia kimaelekezo na ukaitumia hovyo huleta usugu wa dawa.
Waswahili wengi tuna tabia ya kurahisisha kutaka dawa pasi na kufanya vipimo na kupata ushauri kwa daktari juu ya utumiaji wa dawa.
Hivyo madhara kutokea ni lazima.

Ninapata mashaka na uelewa wako.
Soma nilipozungushia alama nyekundu kiuelewa zaidi.View attachment 2992986

= dialysis
 
Maeneo ambayo Mchina kaachwa mbali :
1.Semiconductor.
2.Software development
3.Biotechnology and Pharmaceutical: Mfano tu maswala ya Corona.
4.Aerospace : Hapa China anakuja kuja nyuma ya Mrusi, baba yake USA yuko mbele .
Hivyo ni vipengele vichache tu upande wa Tech , twende kwenye international trade hapa Dollar ya Kimarekani katika ku'conclude international transfer hana mpinzani , China amefanya counterattack kwa kutengeneza BRICS na mwenzake Mrusi lakini Dola haijadeppreciate value yake , Uliza wafanya biashara wa Bongo walivyokuwa wakihaha kuitafuta Dola Benki ili wakafungashe.
Makampuni makubwa ya International transaction yapo chini ya Wamarekani hapa tunapoongea una Kadi yako ya Mastercard Au Visa Card mfukoni , Hio kadi ipo chini ya Mmarekani.
Upande wa Product manufuctering China anamfukuzia kwa nyuma Mmarekani sikatai lakini ukweli ni kwamba yupo nyuma sana kwenye swala la Ubora wa Bidhaa zake.
Kijeshi hapa haina haja ya Kuongea ukienda Japani unaikuta Kambi ya Jeshi la Marekani , Ukienda Korea unaikuta bado hujazungumzia teknolojia ya Siraha na kuendelea, Bado hujazungumzia NATO na mengineyo.
Ni kweli China imepiga hatua kwenye mambo mengi lakini tusiongee kishabiki kiasi cha kuexaggarate facts
Japo ni mda sasa toka uanzishe hii thread, hizo technologia unazoziongelea; unajua kuna products za mmarekani zinatoka china? Je, unadhani bei ya product original ya Mchina wabongo wangapi wanaiweza? Unavyoona hapa vinavyoitwa vya mchina, ni products special for Africa, haziuziki kwingine. Na ni kwa sababu uwezo hawana.
 
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari
3) Magari ni hatari
4) Micro chips usiseme
5) Computing hawana mpinzani
6) Kwa kilimo ni hatari
7) Kwenye madawa wamo
8) Ujenzi ni hatari
9) Technology ya simu wanatisha

Na mengine mengi tu. Sasa Mimi najiuliza Mchina ana kitu gani cha kuwazidi hawa mabwana.
Upande wa Uchumi kuna gap kubwa mno. USA ana 28.7 trillion USD GDP. Mchina ana 18.5 trillion USD GDP. Gap hiyo ni kubwa.

Anguko LA USA sio Leo wala kesho. Labda miaka Mia mbili Ijayo
Ww hapo kuna chochote unachotumia kutoka usa ukiitoa hizo os
 
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari
3) Magari ni hatari
4) Micro chips usiseme
5) Computing hawana mpinzani
6) Kwa kilimo ni hatari
7) Kwenye madawa wamo
8) Ujenzi ni hatari
9) Technology ya simu wanatisha

Na mengine mengi tu. Sasa Mimi najiuliza Mchina ana kitu gani cha kuwazidi hawa mabwana.
Upande wa Uchumi kuna gap kubwa mno. USA ana 28.7 trillion USD GDP. Mchina ana 18.5 trillion USD GDP. Gap hiyo ni kubwa.

Anguko LA USA sio Leo wala kesho. Labda miaka Mia mbili Ijayo
Kwahiyo hizi ndo mada zinazo jadaliwa na wasomi wa kitanzania.... tena mnazipamba na kuziita mada zenye akili... dooh!
 
Sio rahisi hivyo Semiconductor ni technology ngumu kweli kweli bila R&D ya kutosha kufanikiwa inahitaji maajabu
True lakin sio kwamba wanaanza the scratch .. tayari wana 7nm microchips .. and the currently iliyopo ni ya 3nm
 
Ki uchumi huwezi fanikiwa bila kuwa mwizi na mjanja hivi , Anaemzidi mwenzake mbinu za wizi na ujanja ndio anafanikiwa , licha ya hayo madeni lakini ndio taifa lenye stable economy dunia nzima achana na namba za mitandaoni angalia maisha ya wananchi wake , Ni rahisi Foreigner kufanikiwa Marekani kuliko China.
Hii ni sababu ya usa dolla domination
 
Back
Top Bottom