Shida ya sisi waswahili tunachukulia kitu kikiwa maarufu ndio basi bora kuliko kingine.Kuna dawa isio na madhara ? Tuanze na chanjo za Covid19 za U.S
Hajui kama hapa Tanzania kuna pharmaceutical companies nyingi tu zinazoendeshwa na wachina.
Hao johnson na Jonson anaowasemea mwaka jana tu kuna vipodozi vyao hapa Africa hususan West Africa vimepigwa marufuku kuwa huchochea vimelea vya saratani ya ngozi.