Dawa ya Uvccm
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 2,223
- 4,717
Mbowe kamkamate wewe huku ukisaidiana na mamako kama unaweza.Tatizo hiki kikundi cha magaidi inatakiwa kifutwe kabisa kipotee kabisa. Hapo dawa ni kukamata na kuweka ndani mbowe na kurejesha ile kesi ili ahukumiwe kunyongwa mpaka kufa
Kuna baadhi ya watu wamezaliwa automatically ni wagonjwa wa akili.Sasa ona amepewa kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kunyongwa mpaka kufa.Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe. Akakemea Kodi za DHULUMA zikusanywazo na TRA, na kuikemea TAKUKURU na Polisi kwa kuwanyanyasa watu bila makosa.
Kweli tukaanza kuona nuru mpya baada ya siku chache. Ikawa kama ni kupindua kabisa mambo ya ukatili na uuaji ambayo yalitamalaki wakati wa Magufuli.
Kesi ya Akwilina ikapinduliwa na Mahakama ya Rufaa, yule Mdude CHADEMA wa Mbozi maarufu kwa matusi naye akashinda kesi
Mara tukaanza kusikia kauli za matusi kwenye mikutano ya CHADEMA. Mfano ni ile kauli ya Mdude siku 4 tu baada ya kuachiwa alisikika akiongea Jukwaani Barracuda Tabata kuwa "Mwambieni huyo Mama yenu, nitamnyoa kwa wembe uleule niliotumia kumnyoa mtangulizi wake"
Alitamka maneno mbele ya Mbowe na viongozi wengine wa CDM na hawakumchukulia hatua mpaka leo.
Kwa mtazamo wangu Serikali imeona pengine bado hatuna busara katika kutumia uhuru wa maoni. Tunaleta matusi badala ya kutoa maoni.
mamayenu samia nyie amewalea vizuri,kama mnamalezi mazuri kule geita mngetoa vitisho kuwa lissu asikanyage chato, mzee wasira mlezi wenu huko ccm anaakili timamu aliposema lissu azomewe chato? jiongezeni nyie makuwadi na madalali ya dpworld.Ninamlaumu Mbowe na viongozi wengine wa CHADEMA kwa kutomsaidia Mdude kisaikolojia na kumwacha aangamie. Mbona kina Malisa GJ na yule mtoto wa Mbowe hawapati kashkash kama za Mdude?
Jibu ni kuwa wazazi wao ambao pia ni wamiliki wa CHADEMA wanawaongoza vizuri na kuwaonya kuhusu uropokaji. Mdude kwasababu ni mtu baki ni kama wamemtoa kafara.
Anachoambulia ni hashtag ya free mdude. Kina Mnyika wao huwa hawakamatwi kwa sababu wanajua timing ya kuongea.
Mdude kama watoto wengine kutoka familia maskini wanawekwa mstari wa mbele kimakusudi na mmiliki wa CHADEMA Sultan Mbowe.
Hili ni tusi?"Mwambieni huyo Mama yenu, nitamnyoa kwa wembe uleule niliotumia kumnyoa mtangulizi wake"
Wanafanganywa sana na mashabiki wa kwenye mitandao hadi wanajoona wao ni kama Nelson Mandela au Che Guevara.Kuna baadhi ya watu wamezaliwa automatically ni wagonjwa wa akili.Sasa ona amepewa kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kunyongwa mpaka kufa.
Siasa za Africa zinahitaji uwe na extra thinking capacity katika kufanya approach yoyote.
Kapuuzi fulani wewe.Hayo maneno utayatolea Mahakamani wakati wa kumtetea Mdude. Usinipitezee muda hapa
Ulitaka nimtetee mwizi wa bandari?Mkuu kama unaweza kumtetea Mdude kwa maneno yake machafu basi wewe siyo mtu makini na humjui Mdude
Hiyo kauli " mwambieni huyo mama yenu nitamnyoa kwa wembe ule ule niliotumia kwa mtangulizi wake" Ina shida gani? Na unaweza Thibitisha kwamba anayeongelewa ni nani?Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe. Akakemea Kodi za DHULUMA zikusanywazo na TRA, na kuikemea TAKUKURU na Polisi kwa kuwanyanyasa watu bila makosa.
Kweli tukaanza kuona nuru mpya baada ya siku chache. Ikawa kama ni kupindua kabisa mambo ya ukatili na uuaji ambayo yalitamalaki wakati wa Magufuli.
Kesi ya Akwilina ikapinduliwa na Mahakama ya Rufaa, yule Mdude CHADEMA wa Mbozi maarufu kwa matusi naye akashinda kesi
Mara tukaanza kusikia kauli za matusi kwenye mikutano ya CHADEMA. Mfano ni ile kauli ya Mdude siku 4 tu baada ya kuachiwa alisikika akiongea Jukwaani Barracuda Tabata kuwa "Mwambieni huyo Mama yenu, nitamnyoa kwa wembe uleule niliotumia kumnyoa mtangulizi wake"
Alitamka maneno mbele ya Mbowe na viongozi wengine wa CDM na hawakumchukulia hatua mpaka leo.
Kwa mtazamo wangu Serikali imeona pengine bado hatuna busara katika kutumia uhuru wa maoni. Tunaleta matusi badala ya kutoa maoni.
Sahihi sana kakaKwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe. Akakemea Kodi za DHULUMA zikusanywazo na TRA, na kuikemea TAKUKURU na Polisi kwa kuwanyanyasa watu bila makosa.
Kweli tukaanza kuona nuru mpya baada ya siku chache. Ikawa kama ni kupindua kabisa mambo ya ukatili na uuaji ambayo yalitamalaki wakati wa Magufuli.
Kesi ya Akwilina ikapinduliwa na Mahakama ya Rufaa, yule Mdude CHADEMA wa Mbozi maarufu kwa matusi naye akashinda kesi
Mara tukaanza kusikia kauli za matusi kwenye mikutano ya CHADEMA. Mfano ni ile kauli ya Mdude siku 4 tu baada ya kuachiwa alisikika akiongea Jukwaani Barracuda Tabata kuwa "Mwambieni huyo Mama yenu, nitamnyoa kwa wembe uleule niliotumia kumnyoa mtangulizi wake"
Alitamka maneno mbele ya Mbowe na viongozi wengine wa CDM na hawakumchukulia hatua mpaka leo.
Kwa mtazamo wangu Serikali imeona pengine bado hatuna busara katika kutumia uhuru wa maoni. Tunaleta matusi badala ya kutoa maoni.
Mleta mada aliposkia wembe moja kwa moja akili yake ikawaza vuzi.Hapo matusi yako wapi?
Unaweza kumnyoa Amri Jeshi Mkuu wewe kwa wembe?Hapo matusi yako wapi?
Ni mama yako wewe Marco Polo basi ndiye anaongelewa.Hiyo kauli " mwambieni huyo mama yenu nitamnyoa kwa wembe ule ule niliotumia kwa mtangulizi wake" Ina shida gani? Na unaweza Thibitisha kwamba anayeongelewa ni nani?
namnyoa mama yako niliye naye hapa
Mwambieni huyo Mama yenu, "nitamnyoa kwa wembe uleule niliotumia kumnyoa mtangulizi wake" hilo nalo ni tusi! Kama ni tusi basi vinyozi wote wakamatwe.Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe...